Mkuu ndo ipoje hiyo stamala wajada ni kama ntahiitaji piaUandishi wa story yako Tangia mwanzo unaonyesha unayo Stamala Wajada, Endelea nayo Stamala wajada
Yaani kaza mpaka mwisho kama ulivyoweza kukaza kuanzia mwanzo
ulikaa miaka mitatu bila kufanya tendo la ndoa mkuu?Kama kama umesoma vizuri nimesema nilikuwa tayari kumuoa ila sikuwahi kumuamini. Kwa hiyo kama ungefika muda wa kuoana bila tatizo lolote ningeoa tu mkuu na ndio maana sikuwahi kuwa na mahusiano mengine tofauti na yeye.
Huyo dada akikubali hiki kitokee basi amchukue.Muite yeye na huyo jamaa yake umuelezee hiki kisa chote kama ulivyokiandika hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti hana makosa wala hahitaji msaada. Wewe ndio unahitaji msaada kujielewa.Habari wakuu,
Nimekuwa na binti katika mahusiano kwa kipindi kirefu sana (tangu akiwa form 2 mpaka sasa yupo mwaka wa 3 chuo kikuu).Aliamini mimi ndiye mume wake japo mimi sikuwahi kuamini kama yeye ni mke wangu kwa sababu sinaga utaratibu wa kuwaamini wanawake hivyo nikawa nasubiri muda uongee kama itakuwa basi nitamshukuru MUNGU.
Alivyofika kidato cha tano aliamua kwa mapenzi yake kunitunuku bikra yake( sikuwahi kumlazimisha kufanya hivyo) kutokana na imani yangu kwake nilijua naweza kumtoa hiyo bikra yake ikaja kuwa fimbo mwisho wa siku na kuanza lawama zisizo na msingi.
Mwaka 2016 niliagana nae naenda kimasomo somewhere(akiwa form five hiyohiyo) akaahidi kunisubiri kwa gharama yoyote nikasema poa MUNGU atajalia nitarudi na mapenzi yataendelea. Nimekaa kusikojulikana mpaka mwaka jana(2019). Kwa kipindi chote hicho tulikuwa tunawasiliana japo sio sana ila mimi ndio sikutaka mawasiliano ya mara kwa mara kwa kuogopa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa (kiukweli sikuwahi kuwaamini wanawake) hivyo nilijua atakuwa akijifanya kuwasiliana na mimi muda mwingi ila wahuni wanaendelea kuishi kama kawa.
Sikutaka hilo litokee nikapunguza mawasiliano ikafika kipindi mpaka ukawa unapita mwaka bila simu yoyote ila kwa kipindi chote hiki sikuwahi kuwa na mahusiano na mtu mwingine sababu sipo interested sana na wanawake kiukweli. Nilivyorudi nilimtafuta kwa simu na kumuomba nikutane nae hotelini tujadili mawili-matatu.
Alivyokuja swali la kwanza nilimuuliza kama bado ananipenda akajibu ndio tena sana ila kuna mtu kamtolea mahari anataka amuoe kwani kamsaidia mambo mengi kipindi mimi sipo na mama yake ndiye aliyemlazimisha akubali akijua mimi nshaachana nae. Mimi nilinjibu hilo kwangu sio tatizo kama umepata mtu wa kukuoa mshukuru MUNGU huenda haikupangwa sisi kuoana hapo ndipo kilipoanzia kimbembe anadai ananipenda mimi na yupo tayari kumkataa huyo jamaa aliyetoa mahari.
Kwa upande wangu sipo tayari kuona mwanaume mwenzangu anaumia kwa sababu ya mwanamke, kwangu haina tatizo kwani haya niliyategemea tangu siku ya kwanza.
Naombeni mnishauri wakuu njia sahihi ya kumuelewesha huyu mdada aachane na mimi na akaolewe na huyu jamaa yake.
Ahsante
hapana mkuu, huko sasa hivi vinamaliza havijaona hata damu wala kutoa viweleSasa zinang'oka from primary
Mshikaji hujiamini kabisaaa,halafu humpendi huyo dada ndio maana ulikuwa unamkatia mawasiliano,muache dada wa watu aolewe maana na yeye kakushobokea tu kwa Sababu umetoka nje ya nchi angekuwa alikupenda kweli angekusubiriiiiHabari wakuu,
Nimekuwa na binti katika mahusiano kwa kipindi kirefu sana (tangu akiwa form 2 mpaka sasa yupo mwaka wa 3 chuo kikuu).Aliamini mimi ndiye mume wake japo mimi sikuwahi kuamini kama yeye ni mke wangu kwa sababu sinaga utaratibu wa kuwaamini wanawake hivyo nikawa nasubiri muda uongee kama itakuwa basi nitamshukuru MUNGU.
Alivyofika kidato cha tano aliamua kwa mapenzi yake kunitunuku bikra yake( sikuwahi kumlazimisha kufanya hivyo) kutokana na imani yangu kwake nilijua naweza kumtoa hiyo bikra yake ikaja kuwa fimbo mwisho wa siku na kuanza lawama zisizo na msingi.
Mwaka 2016 niliagana nae naenda kimasomo somewhere(akiwa form five hiyohiyo) akaahidi kunisubiri kwa gharama yoyote nikasema poa MUNGU atajalia nitarudi na mapenzi yataendelea. Nimekaa kusikojulikana mpaka mwaka jana(2019). Kwa kipindi chote hicho tulikuwa tunawasiliana japo sio sana ila mimi ndio sikutaka mawasiliano ya mara kwa mara kwa kuogopa kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa (kiukweli sikuwahi kuwaamini wanawake) hivyo nilijua atakuwa akijifanya kuwasiliana na mimi muda mwingi ila wahuni wanaendelea kuishi kama kawa.
Sikutaka hilo litokee nikapunguza mawasiliano ikafika kipindi mpaka ukawa unapita mwaka bila simu yoyote ila kwa kipindi chote hiki sikuwahi kuwa na mahusiano na mtu mwingine sababu sipo interested sana na wanawake kiukweli. Nilivyorudi nilimtafuta kwa simu na kumuomba nikutane nae hotelini tujadili mawili-matatu.
Alivyokuja swali la kwanza nilimuuliza kama bado ananipenda akajibu ndio tena sana ila kuna mtu kamtolea mahari anataka amuoe kwani kamsaidia mambo mengi kipindi mimi sipo na mama yake ndiye aliyemlazimisha akubali akijua mimi nshaachana nae. Mimi nilinjibu hilo kwangu sio tatizo kama umepata mtu wa kukuoa mshukuru MUNGU huenda haikupangwa sisi kuoana hapo ndipo kilipoanzia kimbembe anadai ananipenda mimi na yupo tayari kumkataa huyo jamaa aliyetoa mahari.
Kwa upande wangu sipo tayari kuona mwanaume mwenzangu anaumia kwa sababu ya mwanamke, kwangu haina tatizo kwani haya niliyategemea tangu siku ya kwanza.
Naombeni mnishauri wakuu njia sahihi ya kumuelewesha huyu mdada aachane na mimi na akaolewe na huyu jamaa yake.
Ahsante
fanya tu kama mwanzo stay low na kutulia uone nn kinafuataHabari wakuu,