nimekuelewa mkuuIn short nyote ni chupa na mfuniko..
- Wewe una kiburi,majivuno na kujiona. Ndio maana kakucheat maana unaonekana hukumuweka karibu nawe kiss kujiona (You don't give a damn). Badirika, uhusiano ni mawasiliano na Women wanapenda kuwekwa karibu! Kuona hisia za mtu kweli! Kwa silka yako hiyo baadae utakua moja ya wale wazee tunawaita Dingi Mkuda
- Huyo gal nae kitendo cha kutaka kumkataa aliyemtolea mahali kisa wewe kimemshusha credibility! Inaonyesha si mwaminifu..Japo kua itawezekana ana hisia za kweli nawe..
I'm sorry kwa kutumia maneno makal
Uandishi wa story yako Tangia mwanzo unaonyesha unayo Stamala Wajada, Endelea nayo Stamala wajada
Yaani kaza mpaka mwisho kama ulivyoweza kukaza kuanzia mwanzo
Huyu ni mchawi kama wachawi wote wa maisha ya wanawake. Uling'oa utepe wake halafu unamwona kahaba. Kidato cha tano kama alikuwa na utepe, huyo ni jasiri. Wengi hupoteza tepe zao kidato cha pili na cha tatu.sasa kama hauko interested na wanawake,ulimuita hotelin ili umfanyaje?
Yupo interested na wanaume [emoji848]sasa kama hauko interested na wanawake,ulimuita hotelin ili umfanyaje?
Nashukuru sana mkuu, kiukweli siwezi kuingilia mahusiano yao hata kidogo.Hapo chagua moja kwenye mawili
1. Nenda kwa mama yake kimya kimya bila ya yeye kujua, mueleze kila kitu na utoe Baraka zote harusi ifanyike Kama kawaida, kisha binti aitwe mbele yako na myamalize.
2. Kimbia mbali sana, badili namba na kata mawasiliano Kama ulivyofanya ukiwa masomoni walau mpaka harusi iishe, na uweke nia Kama mwanaume kuwa hutoingilia mahusiano Yao tena. Kuwa jasiri
Mimi nimebariki ila namshangaa anataka akatishe ndoto za huyo mtoa mahali eti kisa nimerudi.Mhitimu wa chuo, mbona msala mdogo tu!
Mtu ameshatolewa hadi mahali! Wewe unataka uingilie nini tena wakati unasema hauko interested na hayo mambo?
Hiyo ya kutolewa mahali, tayari ni ticket ya kukuchomoa kwenye hayo mahusiano.
Sent using Jamii Forums mobile app
kama umesoma vizuri nimesema nilikuwa tayari kumuoa ila sikuwahi kumuamini. Kwa hiyo kama ungefika muda wa kuoana bila tatizo lolote ningeoa tu mkuu na ndio maana sikuwahi kuwa na mahusiano mengine tofauti na yeye.since form 2 mpaka chuo kikuu
afu unasema hukuwa na mpango wa kumuoa why ulimuweka by ur side sasa ??
sometimes wanaume tuwe hofu ya Mungu kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app