MamaBeata JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 325 Reaction score 112 Oct 29, 2013 Thread starter #81 BPM said: je mapokeo yake uliyaonaje?? Click to expand... sio mabaya alikubali akasema sawa. Baadae akawa anamwambia msichana wangu wa kazi kua hakupenda nlivomwambia nkajua message sent. Hizo nyingine ni kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
BPM said: je mapokeo yake uliyaonaje?? Click to expand... sio mabaya alikubali akasema sawa. Baadae akawa anamwambia msichana wangu wa kazi kua hakupenda nlivomwambia nkajua message sent. Hizo nyingine ni kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.