Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 6,044
- 5,920
Wakili Nimrod Mkono bado ni Mbunge? Sijamsikia tangu Bunge jipya lianze. Kufungia 'Bunge live' kutawagharimu wabunge wengi maana hatwasikii wala kuwaona wakichangia hoja mbalimbali.
Vv
Vv