toby ziegler
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 105
- 58
subutuuuAlimnunua Mpinzani(CHADEMA)kwa kuwa alijua hashindi uchaguzi mkuu,nabii hathaminiwi kwao
Bilioni au Milioni 90? Kama ni shula za kisasa zenye maabar inawezekana. Congrats mzee, unajua kuteka akili za Wakurya.
Huyo ni mwizi walichoma mafaili BOT wakakwapua hela na kukimbili nje, amekaa nchini baada ya Nyerere kung'atuka.Anawarudishia watanzania pesa zao!
Aliyekwambia Jimbo la Musoma vijijini linakaliwa na wakurya ni nani?Bilioni au Milioni 90? Kama ni shula za kisasa zenye maabar inawezekana. Congrats mzee, unajua kuteka akili za Wakurya.
bora huyu anaeiba na kurudisha kwa mtindo wa watoto wetu wapate elimu na matibabu kuliko wale wanaoziweka kwenye visiwa
Wakuu nimefika jimboni kwa mkono nimeona kazi zake yes nimekubali pamoja na mengine the man jimboni kafanya mengi.Si hizo tu na hata shule za msingi nk .Mkono hana mshindani pale kwake tuache kujidanganya .Mimi siipendi CCM lakini kwa mkono kumtoa si kitu chepesi .Kafanya kweli na anakubalika .Mkono hata serikali inaenda kumuomba pesa akiwa jimboni kwake .Mkono huyu huyu unaye muona .Mie namkubali kwa maendeleo yale nimeona mwenyewe na picha ninazo.
Gonga hii link utaona kwa uchache shule zake
Musoma Rural Website.