Nimrod Mkono Mbunge wa Musoma Vijijini ametishia chama chake endapo kitamtosa mpaka mwisho kwenye kinyang'anyiro cha Ujumbe wa NEC. Amesema hayo baada ya kutoswa kwenye mchakato wa awali.
Ukikubali kula vya watu lazima nawe uliwe...ndio matunda ya CCM kuendeshwa na mafisadi
Kweli inawezakana hili liliwaudhi jamaa zake na sasa wameamua kumtosa! Ila patakuwa hapakiliki huko Magambani maana jamaa anajua masiri yao kibaoLabda wamemuengua kwa kuwa alitia sihihi kwenye daftari la zitto kabwe za kumtoa waziri mkuu. ameonekana hawezi kulinda chama. watakuwa wanamuona kama msaliti. mia
Labda wamemuengua kwa kuwa alitia sihihi kwenye daftari la zitto kabwe za kumtoa waziri mkuu. ameonekana hawezi kulinda chama. watakuwa wanamuona kama msaliti. mia