Nimrejeshee nini mamsapu!?

Mrejeshee ujana wake kama unaweza...hiyo itakua zawadi ya kipekee kuliko nyingine zote!!
 
mpe heshima sana huyo mkeo. Sio wanawake wote tuna mioyo ya huruma.. Mimi mtoto nilie mkuta ntamlea kwa upendo wote ila aliyenikuta Nooo! Silei..
 
Abarikiwe huyo mama!

Mpe upendo wa dhati na uaminifu!

Nawatakia baraka tele kwa maisha yenu, hakikisheni mnamkumbuka Mungu katika maisha yenu!
 
Mpe chochote anachokifurahia, fanya yote yatakayomfanya ajione anapendwa na kuthaminiwa ila kikubwa zaidi ni kuacha kufanya aliyokukataza.
 
Huyo huna cha kumlipa zaidi ya kumuombea kheri na maisha mema kwa mungu,muheshimu sana hakika umepata mke mwema
 
ngoshwe,

Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never!
 
ngoshwe,

Nadhani Mwenyezi Mungu amekujalia ukwasi - Hakuna mwanamke anayeweza kumkimbia mwanamume mwenye pesa - no.. never!

hahaha...BE, hii research imefanyika kulekule kwenu (bar) ama!???
 
.....hakikisha umemuandikisha kwenye mirathi, kama hujaandika nenda sasa kaandike........lol. Abarikiwe sana huyo mkeo.
 
Mtoto aliyeandikwa hapa soon anakuwa member mwenzetu hapa jf. Yaani miaka kadhaa ijayo tutaanza kubishana nae humu.

Wazee twendeni taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…