sikutegemea such a move from a Medical Institution! Afadhali wangelijikalia kimya kuliko kujidhalilisha mbele ya dunia ya wasomi! KEMRI, UVRI hawakufanya "ujinga" huo, hawana uwezo wamajinyamazia!Awo mkuu nivibaraka wa chama chakavu / sahivi wamebaki kupitisha pilipili zilizochanganywa na vitunguu swaumu eti zinatibu corona
Sijakuelewa! Nifafanulie! Kama kuna kitu kimekosewa nambie nirekebishe/nitoe maelezoHujui ulicho andika , fanya research kwa kina.
Sent from my iPhone using JamiiForums
You might be right! Afadhali wangelijinyamazia kuliko kiaibisha mbele wa wenzao wa Kenye, (KEMRI), UVRI (Uganda) etc!NIMR wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Sidhani kama wanastahili kulaumiwa.
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.NIMR wameamua kufunika kombe mwanaharamu apite. Sidhani kama wanastahili kulaumiwa.
Umeandika vema, wanapata tiketi za Ulaya na watoto wao wanasoma FEZA! vijumba vyao vinaezekwa etcau kuandika vipepa uchwara kutafuta ufadhili wa vimiradi visivyo na kichwa wala miguu as long mtu kakatiwa return ticket kuhudhuria semina Stockholm maisha yanasonga.
Naanza kuelewa/kuwaelewa! Basi nisiwalaumu!... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
... ndio hivyo Mkuu; ni lazima waende na mission, vision, na master plan aka road map!Naanza kuelewa/kuwaelewa! Basi nisiwalaumu!
... wajanja kweli kwenda na "mdundo wa ngoma". Walishajua inayo-hit kwa sasa ni ama nyungu au mitishamba kwanini wasiogelee humo humo? Wajanja kinoma.
Brainwashed mind.Shame upon you! (mnisamehe) Mmeshindwa kufanya lolote as an Institution of medical research? Mnaleta boiled concoction of local herbs kuwa ndiyo utafiti wa COVID-19? PhD holders kweli? Hiyo waachie Babu wa Kikombe Loliondo, siyo nyinyi! Kwani bibi zenu kijijini hiyo ya kuchemsha miti shamba itamshinda? Si ndiyo wamekuwa wakifanya FROM TIME IMMEMORIAL, tangu dunia iwepo na mababu/mabibi zetu? Mna tofauti gani na bibi huko kijijini? We needed more scientifically based undertaking on these herbs, not mere boiling!
You need to revamp your research agenda. Nashauri kuwa you need strong collaboration with European/ US labs kuwatoa hapo mlipo. Tatizo ninaloliona mbele yenu ni baba mchukia "mabeberu" , sijui kama atawapa support ya ku- access labs hizo.
Acheni kuwa sample collectors for European /US labs, cooks with PCR machines, and the like!
NIMEANDIKA HAYA KWA NIA NJEMA KABISA AND NOT TO RIDICULE YOU! KAMA NIMEWAUDHI MNISAMEHE
Kamanda wakati wa wewe kuhamia Kenya au Uganda umefikaYou might be right! Afadhali wangelijinyamazia kuliko kiaibisha mbele wa wenzao wa Kenye, (KEMRI), UVRI (Uganda) etc!
Kamanda wakati wa wewe kuhamia Kenya au Uganda umefika
Mimi sidhani kama ni elimu; tatizo ni hivyo vitendea kazi vipo vya kutosha hata watu wajikite kufanya utafiti? matokeo yake akili za wataalam wetu zinadumaa!Retired,
Kwa kifupi tatizo sio NIMR tatizo ni mfumo mbovu wa elimu tulio nao.
Sent using Jamii Forums mobile app