Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,147
- 55,635
ha ha ha ha,tatizo hapokei simu yangu sa sijui kinachoendelea huko.Umesha mpachika mimba binti wa watu '---halafu una Tafuta sababu za kumuacha
Baadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..
Huo sio Uungwana aise
ha ha ha ha
Nashindwa kuelewa kwa nini hapokei....kwa sababu kuna muda alinipigia nikawa bize,baada ya dk 10 kumpigia hapoke simu,nimepiga mara 7,hakuna kitu.Bad mind ina maana ye kutopokea simu tayari ushawaza anagegedwa? We sema umeshindwa kulea mimba na unataka kusepa
ha ha ha ha,tatizo hapokei simu yangu sa sijui kinachoendelea huko.
π π π πBaadae akija kuzaa mtoto --- mnakuja Jf na kuanza kuwa kashifu single mothers. ..
ha ha ha ha ha inawezekana mkuuNdiyo sababu ya kumuacha? π³π³π³si uende ukalikute lijamaa linakusaidia kutengeneza masikio ya mwanao. πππ
Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna fedha aliomba kwangu ingawa nakuwa mgumu kuitekeleza yote;sasa nataka nitumie huu upenyo wa kutokupokea simu nimpige chini.Waungwana, mnasemaje kuhusu hilo?
ha ha ha ha,tatizo hapokei simu yangu sa sijui kinachoendelea huko.
Ha ha ha ha ha haHapana,, we mpige juu.
Tatizo ni chura matata kiuno nyugwi akipita hapo lazima mwanaume ageuke,wakati mwingine hadi ke wenzake wanasimamisha.Kwanini usifikirie kuwa huwenda ikawa amepatwa na matatizo. .. badala yake unaanza kumuwazia mabaya tu !!!
Mlete kwangu nitakusaidia kulea mimba akijifungua uje umchukue mtoto wakoTatizo ni chura matata kiuno nyugwi akipita hapo lazima mwanaume ageuke
Tatizo ni chura matata kiuno nyugwi akipita hapo lazima mwanaume ageuke