Kuna haja ya kuaga mida hii au nilale tu kimya kimya?
Hahaha basi ngoja niende grp la walevi nikapige porojo tu,humu naweza rusha chupa[emoji23]Kwani unataka kulala? Mapema sana bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha basi ngoja niende grp la walevi nikapige porojo tu,humu naweza rusha chupa[emoji23]
Ntajitahidi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acha wivu basi
Mbona naona km wewe ndo unataka kupotezwa!!!Sitaki upendwe na mafisi/wakware wa humu baby
Duuuuu na nani tena ?Mbona naona km wewe ndo unataka kupotezwa!!!
Mnashabihiana kimuonekano na huyo wa kwenye avatar yako?Mbona naona km wewe ndo unataka kupotezwa!!!
Mwana kuyatafuta mwana kuyapata!πNaomba unisamehe, sitorudia kosa nilofanya chonde chonde, nisamehe bure [emoji120][emoji120][emoji120]
Haka kamsemo nakapendaa vile kanavyokuwa applied sehemu sahihi..!!ππMwana kuyatafuta mwana kuyapata!π
π€£π€£π€£Haka kamsemo nakapendaa vile kanavyokuwa applied sehemu sahihi..!!ππ
Nimekupenda sana AliHumu niko muda mrefu sana, sina lengo la kumchafua mtu wala sikua na lengo la kumchafua mtu, pia nimefuta comment, naomba unisamehe [emoji120][emoji120][emoji120]
Unataka nimuite ili akupoteze?Duuuuu na nani tena ?
Mnashabihiana kimuonekano na huyo wa kwenye avatar yako?
Okay, basi you are very cuteKiasi flani nimeamua kuweka pic nayoshabihiana nayo mazingira na kila kitu
Okay, basi you are very cute
Mimi ndiyo najua hivyo, vyote yaani π ππNashabihiana na mazingira sio huyo mrembo jamani
Kweli eenhe?!Mwana kuyatafuta mwana kuyapata![emoji3]