Samahani, kama nimekukosea nakuomba unisamehe, mi huwa sipendi kukwaruzana na mtu, napenda utani tu [emoji120][emoji120][emoji120]Nimechoka humu mnadharau wanawake sipendi kama umeniona mzee kwani mimi napenda kuolewa na nyie vitoto mimi napenda kuolewa na watu walioenda umri
Unajua kuna muda mtu anakuwa hapendi maneno hata ya utani kwasababu amechoka kukoment majibizano.Sina muda wa kumchafua mtu, ilimradi huwa napebda tu utani
Mkuu futa kauli zako, mwache mdada wa watu, kwa hatua aliyofikia abaonekana amepanick, hafi kunidharau na kuniita kitoto, wakati hajui hata umri wangu. Futa post yako kumhusu katoto kazuri. Pliiz [emoji120][emoji120][emoji120]Utasikia tu ndoa wewe ni ngumu kuipata
Sitokuficha
Wewe sio mungu wangu na hata wewe utaisikia ndoa tu kwa wenzako wala hutokaa kuoa kwa hii tabia mbovu hakuna mdada atakayekuvumilia na hizi tabia mbovu chafu zimeozaUtasikia tu ndoa wewe ni ngumu kuipata
Sitokuficha
Ni m-mama kama wewe...sio mdadaJoanah ni mdada kumbe
Naomba unisamehe, sitorudia kosa nilofanya chonde chonde, nisamehe bure [emoji120][emoji120][emoji120]Unajua kuna muda mtu anakuwa hapendi maneno hata ya utani kwasababu amechoka kukoment majibizano.
Yaani lazima ukute tu mtu anakusumbua humu hivi mnamiaka mingapi??
Hata nikikutajia umri wangu huwezi amini. Nisamehe bure pliiz [emoji120][emoji120][emoji120]Unajua kuna muda mtu anakuwa hapendi maneno hata ya utani kwasababu amechoka kukoment majibizano.
Yaani lazima ukute tu mtu anakusumbua humu hivi mnamiaka mingapi??
Nipo kerororoooo
Mkuu Klay King unaonaje ukamuomba msamaha katoto kazuri na kuondoa jina lake kama anavyotaka.Nimechoka humu mnadharau wanawake sipendi kama umeniona mzee kwani mimi napenda kuolewa na nyie vitoto mimi napenda kuolewa na watu walioenda umri
Wewe ukiolewa basi hata vichaa wote watafunga ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe sio mungu wangu na hata wewe utaisikia ndoa tu kwa wenzako wala hutokaa kuoa kwa hii tabia mbovu hakuna mdada atakayekuvumilia na hizi tabia mbovu chafu zimeoza
Sijapanick nipo sawa tatizo nyie mnamaandishi machafu sasa wewe umeniita kabinti kazee ulitaka kisiniume ila umeitwa katoto kimekuuma sindio yaani kumbe wewe ni mtu matured then your acting like teenagers.Mkuu futa kauli zako, mwache mdada wa watu, kwa hatua aliyofikia abaonekana amepanick, hafi kunidharau na kuniita kitoto, wakati hajui hata umri wangu. Futa post yako kumhusu katoto kazuri. Pliiz [emoji120][emoji120][emoji120]
Cc: troublemaker
Tupinge ukioa ukoo wenu utasauliana majina huoi hata ufanyiwe tambiko.Wewe ukiolewa basi hata vichaa wote watafunga ndoa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yani mwanamke mbishi na mwenye gubu kwma wewe hata pete ya uchumba kuzugia utazisikia tu,kacheze kwaito kwa shughuli za mashoga zako
Asante mkuuNi m-mama kama wewe...sio mdada
Sorry katoto kazuri Nakubali nimekukosea. Sipendi kumkwaza mtu, naomba unisamehe nakiri ni kweli nimekukosea Nisamehe bure[emoji120][emoji120][emoji120]Sijapanick nipo sawa tatizo nyie mnamaandishi machafu sasa wewe umeniita kabinti kazee ulitaka kisiniume ila umeitwa katoto kimekuuma sindio yaani kumbe wewe ni mtu matured then your acting like teenagers.
kumbe hawakujui hawaSitaki mazoea machafu siko na mudi hiyo pleasee kama hujakua rudi kwenu ukanyonye.
Usinizoee i am not your mother