Nimpende nani !

Nilichokiona hapo unafulahia upewaji pesa na hao mabinti.. angaria anaekupa pesa nyingi na uchague.

Ahsnt na ww
 
Uzi tayari.Facebook mbaya imetuvamia jamani.Tuepuke vipi Na hivi vikombe?
 
Nimecheka this morning Aiseee! Amevurugwa hatari.Dizaini kitoto kidogo Na hao wanaompa hela wamevurugwa
Siyo kosa lao it's just there are some stupid stages kwenye maisha lazima upitie, Ndo walipo hapo!
 
Baharia gani huyu!!! Ah sasa mabaharia ndo hawa mbona chama chao kinasifika sana. Kama hauna hela unga mkono juhudi katika chama kongwe la chawaputa ukisimama vizuri kiuchumi ndo rudi kwenu kwa mabaharia sasa
 
Umeandika Uzi ukiwa tayari ushabwia "mipombe yako" maana matumizi ya herufi L na R ni shida polee, afu kijana pambana upate pesa zako,hiyo kupewa pewa tena na girls duuh

Kuwa na msimamo baki na mpenzi 1 umpendaye
 
ok
 
Naikumbuka hii comment, hongera sana kwa ushauli wako japo sina pesa lakini sio mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…