Nimpende nani sasa?

Nimpende nani sasa?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
11208668_473878529436759_4811532256776966714_n.jpg
 
Bora tu uchanganye pombe kidogo na grandmalt ili ubalance kote
 
Kwani Yesu Kristo alipotamka habari ya mtu kumpenda adui si alilenga juu ya mahusiano baina ya mtu na mtu...

Mbona mnataka kujiwehusha kwa mambo yenye tafsiri iliyo wazi
 
hahaha!! akili za kuambiwa, changanya na zako!
 
"Pombe ni adui yako".
Zingatia ushauri wa baba.

"Mpende adui yako". Yesu amesema.
Msikilize Yesu: adui ni aliyekuuzia pombe. Mpende huyo adui....
 
wapendeni adui zenu waombeeni wanaowaudhi
 
hakumaanisha diivai au mvinyo
 
Kwani Yesu Kristo alipotamka habari ya mtu kumpenda adui si alilenga juu ya mahusiano baina ya mtu na mtu...

Mbona mnataka kujiwehusha kwa mambo yenye tafsiri iliyo wazi

Uko sahihi na ndio maana nyoka japo ni adui yetu tuliruhusiwa kumponda kichwa chake na yeye kugonga kisigino
 
kizazi cha sasa kinapotosha kupata upenyo Watu8
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom