Nimlaumu nani, baba au mama?

Baba wa mtoto ajuaye mama pekee kama mama ako alikuambia huyo unaeishi naye ndo baba ako...we unamwamini vp huyo mwingine?

Ni kweli usemalo ila huenda mama alinificha kulinda heshima yake.
 
Asante kwa ushauri ila mbona unanisuta ss.
 
Binafsi upendo ungeongezeka kwa baba mlezi maana ni wa peke hajaonesha ubaguzi au kinyongo cha kulea mtoto asiye wake unless alikuwa hajui kama mtoto si wa kwake .Lakini bado bond mliyonayo ni strong kwakweli

Asante.
 
Bibi aliwahi kuniambia kuhusu baba yangu halisi ila nilipuuzia ndiyo maana ss ninaamini huenda ikawa.

Ni kweli usemalo ila huenda mama alinificha kulinda heshima yake.

Usifanye hivyo maana damu ni zito kuliko mbege.

Wewe inaelekea unalitaka hilo libaba lako lililokwepa majukumu ya kukulea, kumbe alikuwa anajua pakukupata mbona hakukufuata mapema? Likasubiri Me mwenzie amlelee sasa anajitokeza wa nini? Kuwa na toto kama wewe lenye akili kama huyo baba ni hasara, hebu tulia achana naye, unataka.ushauri huku upo upande wake si ufanye maamuzi mwenyewe
 
#Naiman64 , unanionea bure maana jambo ambalo unaifahamu kwa juujuu leo hilo unakuja kupata ukweli fulan inachanganya.
 
Binafis nimelelewa na mama lakin baada ya kuingia mwaka wa kwanza chuo baba alikuja na kudai yeye no baba yangu kuwa natakiwa niishi nae lakin nilkubali tu kuwa ni mzazi lakn siwez kuish nae mda wote alikuwa wap?
 
Nimechukua kitu hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…