Nimkubali huyu mwanamke au?

Mkuu anajihami tu Ili umuone siyo mpenda hela, ila utahonga tu iwe Sasa au baadae, amekuwekea target....tofauti na hapo atakutoa kafaraπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kwaajili ya shughuli zake....πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..natania tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee sio bhana lol
He he wenye vipaji vyao ndivyo mlivyo.. haya sio Basi tukuite kikojozi mstaafu.. subiri mafao tu..πŸ˜‚
 
Sikuleta uzi mie, subiri had nilete uzi wangu kuhusiana na suala hili, afu utauliza hilo swali lako na utajibiwa vilivyo haswaaa,
Mpe ushauri mleta uzi.
Swali linakuhusu wewe personally
 
He he wenye vipaji vyao ndivyo mlivyo.. haya sio Basi tukuite kikojozi mstaafu.. subiri mafao tu..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] umekazania mie sio kikojozi bhanaa.
 
Hivi hata unaelewa? Au unaona fahali kujibizana na mie? Nimeshakujibu subiri had nilete uzi wangu ndo uulize afu uone km hautajibiwa.
Mpe ushauri mleza uzi.
Mleta uzi nimeshampa ushauri wangu.

Kilichobaki ni majibu yako your highness
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½πŸ‘ŠπŸ½

Wanaume wameisha siku hizi hadi aibu...kweli huu ni ushauri wa kukaa na kuanza kuomba tukusaidie mawazo
 
Kwa jinsi ulivyoelezea nakushauri usikurupuke kumkubari mda mwingine inaweza ikawa ana ujauzito na aliempa kamkimbia so anatafuta wa kumwachia msala
 
Kwa jinsi ulivyoelezea nakushauri usikurupuke kumkubari mda mwingine inaweza ikawa ana ujauzito na aliempa kamkimbia so anatafuta wa kumwachia msala
πŸ€”πŸ€”πŸ˜‡
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…