Nimkubali huyu mwanamke au?

Zaliiii laaaa mentaaaliiiiiii limetokea wakati kenzy ana ugwadu...😜 Akapendwa na demu mkaleeee...alafu anajifanya anaomba ushauri😎
 
🀣🀣 Mengine sio mazari ni mazarino unataka nikakaukiwe damu bro wako..
 
🀣🀣🀣🀣 Bro unachezea zari hilo ..kukaukiwa damu kitu gani bhana..πŸ˜‚πŸ˜‚ utachunda na udomo zege wako oohhhooo
 
Kwa kuwa sister wangu umetia tiki mi na msign in sasa ikibidi tunakuletea na katoto kakuite shangazi..😜
 
Woyoooo🀸🀸🀸 hayo ndiyo maneno bro..piga kelele kwa tiiii akeeee weuweeee...shangazi Mimi jamani😍😍
 
Dada gani huyu anaruka mpk sarakasi..πŸ˜‚πŸ˜‚ hapa nina dada au Nina mcheza Kung Fu..πŸ˜…
 
🀣🀣🀣🀣 Advertise tu hiyo brooo...huyo Wii ajiandae akija kichwakichwa..atakutana na za usoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
He he! Ambacho hukijui ni kuwa anakabali moja hiyo inaitwa "Ni yeye"πŸ˜‚
By the way sitaingilia ugomvi wenu..πŸ˜…
 
Nafasi adimu hiyo mzee kitu imejileta yenyew
 
Huyo ni mbuzi kafia kwa muuza supu...[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Unachosubiri ni nini badala ya kula mzigo..

Mpe mtoto dyudyu.....kisha utaamua kama anakutega au laa..[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Mambo ya kuombana pesa tutayajua baadae..[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
...
 
[emoji1787][emoji1787] hamn kuna vitu sio vya kuacha kiukwel hyo nafas naitaman
Basi sawa mi najitupa kwake kama furushi la mahindi Sina cha kupinga sasa si mmeamua nikafe kibudu haina noma..πŸ˜‚
 
πŸ™„πŸ™„ Roho wa yuda bado anaishi nasi..πŸ˜‚
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…