Elfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Elfu hamsini unamwandikia na Uzi? ...... ukiambiwa ulipe kodi ya Nyumba na Junuary hii si utamweka kwenye Billboards kabisa. Hivi Wanaume wa Kizazi hiki mmekuja kuwaje?
Kaka hapo unapigwa utapotoa jipange kwamizinga mingine ndani ya mwezi ugonjwa,kodi,simu imeharibika,mpesa na tigo pesa kama hauna hela wanawake kama hao sio level yako
Hiyobelf 50/mtie mama yako huko kijijini. Yeye mwambie sina hela. Akikuzingua kwa ajilibya hilo ujue yuko kimaslahi. Akisema pouwa mkaendelea itakuwa vema.