Nimfuate ama vipi?

Unaomba ushauri wa kwenda kufanya dhambi??? Usitushirikishe dhambi yako!!!!
 
Chagua magufuli,wacha kuhangaika na wanawake usiowajua.
 

we nenda tu kaka, yeye ndo amekualika so atasimamia show nzima! ##mario
 
haya mkuu
nenda bill ikushinde upewe adhabu ya kuosha mijombo ya hoteli.....

ndio maana napenda majimama yanayonihonga. Kwa sasa mwanamke niliyemzidi umri ni mke wangu pekee tunaesaidiana kula za majimama yangu!!
 
we nenda tu kaka, yeye ndo amekualika so atasimamia show nzima! ##mario

Kusimamia show nzima? Thubutu! Hata hivyo ilikuwa jana nilienda nikakutana naye.... Unajua mm sinywi Pombe yeye nilimkuta anakunywa maji ile kufika tu akaagiza chupa kubwa kubwa tano za Pombe nikahisi lazima zitakuwa bei mbaya tu... Nikamwambia naenda kujisaidia nikasepa zangu sikutaka shida na mtu.
 

hahahah....unajua kwanini ulikuta kaagizia maji? kwamba usipotokea ataafford kulipa bill! kwahiyo ukapita zako hivi mzee, ukamwachia msala
 
hahahah....unajua kwanini ulikuta kaagizia maji? kwamba usipotokea ataafford kulipa bill! kwahiyo ukapita zako hivi mzee, ukamwachia msala

Ndio hivyo mkuu machale yalinicheza, unaambiwa uishi nao kwa akili hawa viumbe, sasa hiv kila mda anapiga simu tu sihitaji hata kumsikia nakata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…