Nimfuate ama vipi?

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,507
Reaction score
21,604
Kuna msichana mmoja hatujawahi kuonana hata siku moja huwa tunawasiliana tu mitandaoni mda tu, Dada kaingia kingi leo kaniambia kuna sehem anaenda atarudi saa 2usiku kisha atakuwepo kwenye hotel mojawapo ndipo hapo ataniita na mm niende.... Wasiwasi wangu hotel nyingi za huku huduma zao ziko juu sana nisije nikaenda nikaishia kupiga U-turn kutokana na vinywaji na vyakula atakayokuwa anaagiza eneo hilo huku hata nyama nisipewe.
 
Eeehh nenda kuchunwa kidogo sio mbaya ..........wanaume wa siku hizi waoga
 
Wee kamata libambucha lako hapo kwa mangi ukalale.
 
Eeehh nenda kuchunwa kidogo sio mbaya ..........wanaume wa siku hizi waoga

Sio uoga #Blaki Woman tatizo wadada wa siku hizi sijui mnatukomoa? Nimejifunza kwenye uzi wa #Special agent alivyotoka nduki supermarket, labda mnipe mawazo mbadala.
 
nenda ila usiogope akianza kuagiza ma-champaign we mwambie atalipia mwenyewe
 
Hela yenyewe ya mawazo ya nini kujitutumua??

Halafu nyie ndio mnanyonywa damu...mtu humjui mradi umesikia sauti ya kike basi unaingia kichwa kichwa

Teknolojia imekua mkuu nimeshaonana nae mtandaoni ila man to man ndo leo... Kuhusu hela hata maskini tuna haki ya kusikilizwa.
 
We nenda ukiona Anajifanya matawi ya juu sepa fasta
 
We nenda ukiona Anajifanya matawi ya juu sepa fasta

Poa mkuu! maana mda wenyewe unakaribia huku watu badala ya kutoa ushaur wanatema vijembe tu
 
Haya mkuu
Nenda bill ikushinde upewe adhabu ya kuosha mijombo ya hoteli.....

Teknolojia imekua mkuu nimeshaonana nae mtandaoni ila man to man ndo leo... Kuhusu hela hata maskini tuna haki ya kusikilizwa.
 
Kimbia wahi promis Naukifanikikiwa anzisha mada vipi umgegede kabla ya kumla ntarudi....
 
du..kama kakuita hotelin alipie mwenyewe..ww ndo ulitakiwa umuite eneo ulipendalo ww kutokana na gharama zako,
 
Mmmh! mtu hujawahi kuonana nae then anakuita hotelini isiku duh! hatariiii wajameni anything can happen jiandae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…