Nimfanyenini huyu mwanamke?

Siku nyingine hutarudia tena kunyatia nyatia..
Kibonge mwenzangu heko uko uliko
Sister nilitegemea utanipa pole.. Sasa Kaka yako nikiuliwa unafikiri utampata Kaka mwengine Kama mimi..?
Kuwa kibonge haimaanishi msiwe romantic jitahidini..

Halafu sister Kuna totoz moja nimeimind hapa ila naogopa kumfata!.. nifanyie wepesi umwambie hisia zangu kuwa nimempenda!.. mwambie nataka niwe wake wa maisha!..
Ni huyu shunie ndo nimempenda! Nisaidie dada pls.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una ufala mwingi mkuu... Hahahaa
Ipo siku yatakukuta tu ndo utajua niufala au niupala!
Mpige mambo kisawa sawa mkuu mpaka maji aite maa, adabu itakuja automatic afu uje nishukuru badae
Mambo mbona si jambo lakuuliza!.. chobonge nampa mambo si tu maji anaita mma no bali uji anaita wine mkuu! Tatizo huyu chibonge hayupo romantic!
 
Duh!!
Unaendeleaje Kwa sasa?
Sikulala kisawasawa mkuu ndoto ya lile tukio zilinitawala!.. nimeota vibonge wengiii walikuwa na miiko ina ujiuji wamenizunguka wengine wakawa wanairamba miiko kabla ya kuanza kunipiga!.. ila nashukuru ile ndo wanataka kuanza kunipiga nikajishtua niliona nitakufa!.. sipendagi ujinga mimi na huyu kibonge nimeshamfukuza!.. japo kanitext ati leo arudi anipikie nimemwambia asirudi Tena!.. amenitishia ati nitaona!!.. sijui nimrudishe! Maana dah hiyo nitaona sijui itakuwaje tu..?
Nahofia Mara hii asije nivizia na frampeni tu..!
 
mi hadi leo nimekoma kumsuprise mwanamke kwa kumtekenya!!dem wng siku hiyo nilimfanyia hivyo kwa kumgusa tuu mbavuni hiyo kofi alinipatia sitasahau na kulikuwa na watu wengi pale nikawa najichekesha tuu kuua noma!stim zote ziliruka tulinuniana siku 3
Hahahahhahha
 
He he hatunaga hizo sisi
 
Mimi huyu sasa mbona mimi ndio sina mchezo kabisa bora huyo
 
Mimi huyu sasa mbona mimi ndio sina mchezo kabisa bora huyo
Tutawezana tu mama uzuri hakuna mkate mgumu mbele ya chai..
Shunie mwenzio nakupenda haswa nifanyie wepesi nisiteseke na hizi hisia juu yako!.. njoo tupeane mahaba tuvijaze vibaba sweetie..πŸ˜‰
 
chai bila sukari
 
Ha ha ha ha,, Pole sana
 
alikushtua na libukta lako ulijiandaa kutafuna mzigo kilaini.
 
Kama ndani tu nimechezea Miko huko out kwenye siraha kedekede sijui tu..! Hatoki mtu out leo ni ndani tu mpk kieleweke

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Punguza hasira mkuu ndo ukubwa huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…