Heeeeeeeeeeeeeeeeeh! SIJAWAHI SIKIA MTU ANAJIPELEKA MWENYEWE KUNYONGWA, HAYA KAKA KILA LA KHERI.
KATIKA AKILI YAKO UKIENDA KUMWELEZA KUWA MKEWE ALIKUDANGANYA ATAKUELEWA, WAKATI ANAJUA ULIKUWA UNAKULA URODA WAKE? MM NADHANI ATAHISI UNAENDA KUMRINGISHIA KUWA WEWE KIDUME KUSHINDA YEYE. SASA UTAKIONA CHA MTEMA KUNI.
kwa kuwa mimejua siendelei naye. Ila namshangaa huyo mume wake ambaye amejua na kunyamaza - au ananivutia pumzi nini?
tulia kimyaaaaaaaaaaa na wewe, kama ni kukutafuta akutafute yeye , ila mtafute umfahamu alivyo , ni vizuri ukimjua adui yako anafananaje,na anasilaha gani ni rahisi kujihami kuliko ukae bila kujua hilo.
Pili anza kufanya feasibility study ili ujue kwa nn yule mwanamke alikwambia hana mume.
Inawezekama wametengana na mumewe na yeye akawanakuja kwako kwa ajili ya kupoza kiu
au mumewe hamtoshelezi kunako 6 x 6 ndiyo maana akawa anakuja kwako
ukishajua sasa mwambie huyo mwanamke akueleze kwa nn alificha kuwa hana mume?
Hapo utakuwa umeshapata picha kamili, maana sisi wanawake hatuwezi kuwa na mume, halafu ukasema huna, haiwezekani.
"fuatilia, fikiria halafu chukua hatua."
Damu ya nani tena! Nina mpango wa kumtafuta mume wake nikaongea naye.
Ila mimi sina kosa lolote!
Ni zaidi ya miaka miwili nimekuwa kwenye mahusiano na mwanamke ambaye daima huwa ananambia kuwa hana mume. Jana nikakutana ma rafiki yake ambaye yeye ananifahamu mi simfahamu. Nikasikia ananiita Shem - nikamuuliza shem kwa nani; akanambia shem kwa xxxxxxx. Nikamwambia simfahamu mimi. Huyo mama akanambia hivi "Pamoja na kwamba umesema humfahamu, mi nakufahamu na tayari mume wake naye anakufahamu"
Nimfanyeje? Nimwambie au nimchunie tu!
Ni sahihi, niliwahi kuambiwa siku za nyuma, nilipomuuliza akanikatalia. Siku moja nikaamua kukaa naye hadi usiku wa saa 5; then nikamsindikiza na kumpeleka anakoishi, hakutaka nifike nyumbani anakoishi. Huyo mudada alonambia jana wamepanga nyumba moja na huyo dem wangu.... nimfanyeje?
Jisalimishe Polisi na andikisha maelezo yako kabisa.
Maana naona dalili ya harufu ya damu ipo karibu
Miaka miwili na hujawahi kufika kwake wala kujua kama anaishi na mtu?
Kosa unalo unatembea na mke wa mtu. Haiwezekani kwa miaka miwili usijue kama ana mume au hapana. Ulishindwa kusoma, lakini hata kuangalia picha?