Nimfanyeje mpenzi wangu, nampenda sana

Nimfanyeje mpenzi wangu, nampenda sana

Habarini?
Nina mpenzi wangu tumekua pamoja tangu 2008 tukiwa ndio tumeanza barehe
hadi hii Leo tumekua wakubwa kiasi tunawazia maisha..
Juzi kati amepata bwana mwingine kiukweli ili niuma sana na Kibaya zaidi
napomuuliza anasema ananipenda mie ila yule yupo nae ili kuniumiza roho
kwakuwa nilishawahi kumtendea hivi hapo nyuma... sasa jama mapenzi
yanakulipiziana visasi kweli? ananihakikishia hatoshiriki kufanyanae
mapenzi sasa nitaaminije? ushauri turn kipi nifanye...

dogo kwanza kasome mapenzi yapo tu
 
Back
Top Bottom