Nimfanyeje mpenzi wangu, nampenda sana

Nimfanyeje mpenzi wangu, nampenda sana

mmmnh pole mwambie roho yako imeshumia ajirekebishe otherwise mapenzi yenu hayafiki mbali
 
Vumilia, yeye si alivumilia????

Endelea kuamini kuwa hatifanya nae mapenzi.... moyo kama wako ndio wenyewe
 
si uvumilie amalizie kisasi chake na yeye
 
Jamani hapo tu ni wapenzi mmesha anza kuishi kwa visasi! makubwa!
 
Habarini?
Nina mpenzi wangu tumekua pamoja tangu 2008 tukiwa ndio tumeanza barehe hadi hii Leo tumekua wakubwa kiasi tunawazia maisha..
Juzi kati amepata bwana mwingine kiukweli ili niuma sana na Kibaya zaidi napomuuliza anasema ananipenda mie ila yule yupo nae ili kuniumiza roho kwakuwa nilishawahi kumtendea hivi hapo nyuma... sasa jama mapenzi yanakulipiziana visasi kweli? ananihakikishia hatoshiriki kufanyanae mapenzi sasa nitaaminije? ushauri turn kipi nifanye...

Mkuki kwa nguruwe kwa binadam mchungu. Hugo muongo amesha nogewa tayari mtu anaetaka kukuumiza tu hawezi kuambia kirahisi hivyo.
 
Mmh itakua kanogewa huyu sasa cjui niachane nae au lava kukumegea
 
Last edited by a moderator:
Eeeh haya wewe endelea tu kucheka na nyani, utavuna mabua mkuu. Mbona mambo mengine ni ya kitoto jamani, eti unamwambia mtu nakurusha roho ila sitofanya nae mweeee. Hivi ukitaka kumrusha mtu roho unatoa taarifa?? Na kama ulichepuka na akakusamehe why anacheat now kwa kisingizio cha kukulipizia? Endelea tu kurushika roho mkuu hadi akujie na kitumbo au kadi ya mwaliko eishhh
 
Vijana wa siku hizi BURE KABISA....Kwamaelezo yako tu unaonekana haujielewi, yani KIDUME unalialia mtandaoni jamaa anaTINDUA mwanamke wako?!!!.Sasa tukusaidiaje mtu kama wewe...unahisi unaTOSHA kuwa mwanaume na kiongozi wa familia?!!!....kwakupima uwezo wako kufikiri na maamuzi
 
Mfundishe naona na kusameh na kusahua, sio aseme nimekusameh lakini sitoweza kukusahau. Msamaha wa kweli ni kitu kikubwa sana katika mahusiano.
Shangaa nawe ikiwa nilipo tambua samani yake niliacha yote niliyowahi kumfanyia na goti nilipiga kumuomba msamaha ila sijui why anafanya hivi salsa suregirl
 
haya ni mapenz mkuu na hakuna mwenye kuyajua vizuri nimeweka mtandaoni japo nipate wazo litaloweza nisaidia japo kidogo CHANZO
 
Last edited by a moderator:
Vijana wa siku hizi BURE KABISA....Kwamaelezo yako tu unaonekana haujielewi, yani KIDUME unalialia mtandaoni jamaa anaTINDUA mwanamke wako?!!!.Sasa tukusaidiaje mtu kama wewe...unahisi unaTOSHA kuwa mwanaume na kiongozi wa familia?!!!....kwakupima uwezo wako kufikiri na maamuzi

Hapo umeongea Mkuuu
 
Eeeh haya wewe endelea tu kucheka na nyani, utavuna mabua mkuu. Mbona mambo mengine ni ya kitoto jamani, eti unamwambia mtu nakurusha roho ila sitofanya nae mweeee. Hivi ukitaka kumrusha mtu roho unatoa taarifa?? Na kama ulichepuka na akakusamehe why anacheat now kwa kisingizio cha kukulipizia? Endelea tu kurushika roho mkuu hadi akujie na kitumbo au kadi ya mwaliko eishhh

Nikukaa chonjo
 
Tulia kama unanyolewa we si ulichepuka acha nae achepuke...kidume kizima unakuja hapa kulia lia kwedraaaa
 
We shoga nn analiwa huyo alafu unadanganywa na kuja kutuambia ss tuache tujadili mengine sisi we katafute mwingine huyo kwako ni kama vle umepata mdori shoga we
 
sasa kinachokuuma ni ni kipi Venance wakati na wewe ulishamtendea hivo hivo?
au yeye ana moyo wa jiwe asisikie maumivu? mwosha huoshwa
tena inabidi akuletee na kazawadi ka mimba ili iwe fundisho kwa ulomtenda
 
Back
Top Bottom