Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Hongera sana mkuu kwa kuwa mvumilivu kukaa muda wote huo bila kumchakachua. Hebu tulia ujue kwanza sababu za mapozi ya huyo mwanamke, huenda analeta mapozi kwa kuwa haummegi. Mchakachue ili aache mapozi....
Kwahiyo unataka kufanya hivyo ili kumkomoa?!
Duh! JF kweli great thinker..unapata mawazo ya kujenga na kubomoa...At the end....+1 -1 = 4.....akili kichwani kwako kaka!
Ulikuwa na sababu ya msingi sana ktk misingi ya dini ndio iliyokufanya uwache kufanya usheteni! Kama ulishajuwa kufanya hivyo (kudhini) ni makosa (dhambi) na ukajizuia sasa muoe ukamilishe malengo yako! Unataka ushauri gani? Unataka shetani akushauri kupitia JF uzini sio? Muogope muumba wako! Fanya lililo sahihi,
Mkuu nashukuru sana, ushauri wako unaendena na lengo langu la tangu awali.
Ila sasa ungetuambia mapozi hayo a sasa ivi ni yepi hasa, manake kama umenote tabia sio za kawaida mfano heshima hakuna kivile ujue sasa kune mwenzio pembeni.
Kumchakachua bila utaratibuhaina maana sana cha muhimu, mwaka umepita, mweleze unataka kumwuoa usikilize atasemaje....short of that inaweza kuwa disaster kwako..mmepima afya?