Nimfanye nini mke wangu huyu?

Nimfanye nini mke wangu huyu?

VP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbele
Huyo ni mkeo au mchepuko wako? umeoa kwa ndoa au ninkimada unaishi naye?
hata kama ughaibuni kwani kumwacha huwezi? au ughaibuni hakuna talaka?.

haya basi umeshindwa kumwacha na yeye ana mchepuko wewe unasubiri nn kuanza kuvhepuka..au hakuna wanawake yipo mwenyewe tuu mkeo?

acha ujinga unaoekejea kuwa usrngerema maana utajaingixiwa dildo ubaki ukichekacheka na kuja kutuomba ushauri jf.

be a man enough for your woman...and above all be very bold.

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Mm ni jiran yako na huwa nashangaa mkeo anavyokupelekesha utadhan kakulisha limbwata!! Muhimu; tafuta hela nadhan laki tatu inatosha kumpa kijana hasa Bodaboda akaanza kufatilia nyendo za mkeo na kukupa mrejesho, utamfumania na utamfumania kirahisi na utapata pesa mara 10 ya hiyo utakayotumia kumfatilia, kumuacha au kuendelea nae n uamuzi wako. Make every problem an opportunity.
 
VP unanishauri nitumie falsafa yako?ujue ss tunaishi ughaibuni na mwanamke huku haguswi ni kosa la jinai wanaume ndio huwa tunaachika anaanza mbele
Kwa hiyo ujibiwe na wa Ughaibuni wenzio au na sisi wa uswahilini huku bongo?

The Great Gatsby
 
..niliwahi kuona msg jamaa aliwamuandikia nikaziforward kwangu lkn yy nikakuta amenipekua ktk cmu yangu na kuzifuta zote na mm sikumuuliza lolote mpaka leo hii nimejifanya lofa..

I am sorry to say this but wewe ni LOFA 100%. Mkeo anapanga miadi kwenda kugegedwa weekend hii na unakuja kuwauliza watu wakushauri cha kufanya? Nyie ndo mnafanya wanaume "wa Dar" watukanwe matusi yote
 
Pole sana...

Deal with your wife... Hawezi kukushinda... Kama umegundua na kuthibitisha she is on a process of cheating deal with her before its to late...

Cc: mahondaw
 
demu wako akiuza wenzie, zinduka naye analiwa.......
 
Fanya hivi bro, mvizie akiwa kalala ifunue papuchi yake uiulize kama imeshawahi kukutana na kitu kingine zaidi ya cha kwako,utumie sauti ya chini sana kuongea nayo ili mwenye papuchi asije akaamka akakusikia unajadiliana na papuchi lake bila kumshirikisha.Papuchi kama inajua ukweli itakuambia tu. Ukishaupata ukweli ifunike papuchi yake na uishukuru.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahaha hii ni kali ya mwaka.
 
Back
Top Bottom