Nimfanye nini mke wangu huyu?

Nimfanye nini mke wangu huyu?

kayuguyugu

Member
Joined
Oct 30, 2013
Posts
30
Reaction score
30
Nimfanye nini mke wangu huyu?

Naombeni ushauri kwani nimegunduamke wangu amepata mchepuko kiasi kwamba ameanza kuwa na katabia ka udanganyifu.
Nimemchunguza sana ktk cmu yke nikakuta msg anazoandikiana na mchepuko wake tena ni jamaa wanafanya kazi pamoja kama jana ameniaga kama atatoka week end hii ktk sherehe za kazi yao lkn nimegundua kama anampango wa kukutana na jamaa wala hakuna sherehe zaa kazini.

Niliwahi siku moja kumuuliza vp huyu jamaa naona anakufanya uko busy sana ni kitu gani kinaendelea kati yenu?Lakini alinikatalia nakusema ni just friend kikakazi pia niliwahi kuona msg jamaa aliwamuandikia nikaziforward kwangu lkn yy nikakuta amenipekua ktk cmu yangu na kuzifuta zote na mm sikumuuliza lolote mpaka leo hii nimejifanya lofa.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini mwanamke huyu au huyo bwana?maana namba zake za simu ninazo
Nasubiri ushauri wenu
 
Pole, tafuta evidence za uhakika, hack whatsap yake etc, from there unaweza kuanzisha songombingo ikiwemo kulifikisha suala kwa ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wake wengi wanao cheat waume zao huwajua waume zao kama wapo dhaifu. Ndio maana hufanya watakalo na mume hana la kufanya. Mleta mada hivi ukimuona mwizi anataka kukuibia gari lako, utakuja Jf kutuuliza ufanye nini au utatoa uamuzi wa kiume na kumkabili? Usiumize moyo kusipo penzi, tafuta penzi utulize moyo.

Ndukiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu kubwa sana kwa kweli. kama kuna tatizo kama hilo katika mahusiano unaomba msaada? Huo ni udhaifu wa hali ya juu sana. Na kama huwezi kufanya maamuzi sahihi katika mahusiano yako usitegemee kufanya maamuzi sahihi sehemu zingine kwenye maisha yako. Hata familia yako itakuwia vigumu kuilea kwenye maadili stahiki.
Hadi ufike huku ni wazi mwanamke wako kakutawala, hauna say yoyote. Lakini kwa vile umeomba ushauri basi mimi ninakushauri uache kuita watu wake zako, huyo uliyenae mwite mke wenu.
 
Nimfanye nini mke wangu huyu?

Naombeni ushauri kwani nimegunduamke wangu amepata mchepuko kiasi kwamba ameanza kuwa na katabia ka udanganyifu.
Nimemchunguza sana ktk cmu yke nikakuta msg anazoandikiana na mchepuko wake tena ni jamaa wanafanya kazi pamoja kama jana ameniaga kama atatoka week end hii ktk sherehe za kazi yao lkn nimegundua kama anampango wa kukutana na jamaa wala hakuna sherehe zaa kazini.

Niliwahi siku moja kumuuliza vp huyu jamaa naona anakufanya uko busy sana ni kitu gani kinaendelea kati yenu?Lakini alinikatalia nakusema ni just friend kikakazi pia niliwahi kuona msg jamaa aliwamuandikia nikaziforward kwangu lkn yy nikakuta amenipekua ktk cmu yangu na kuzifuta zote na mm sikumuuliza lolote mpaka leo hii nimejifanya lofa.

Naombeni ushauri wadau nimfanye nini mwanamke huyu au huyo bwana?maana namba zake za simu ninazo
Nasubiri ushauri wenu

Kumbe ulijifanya lofa? Sijui huu uvumilivu mnautoa wapi?
 
jaribu kufanya uchunguxi yakinifu ili u prove beyond the resonable doubt ili utapofanya maamuxi magumu ya kiuanaume usilaumiwe na hakikisha evidence xote xinakiwa recorded ili siku ya kumsomea hukumu unakuwa unamchapa na evidence si kulaumu kutuomba ushauri maana kufanya hivyo imeonesha kutuamini na kuthamini uwepo wetu inshaala mungu akufanyie wepesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa vile umesema umejiganya Lofa, basi wewe endelea , kulialia vivyo hivyo utapata unachokitafuta.
 
Fanya hivi bro, mvizie akiwa kalala ifunue papuchi yake uiulize kama imeshawahi kukutana na kitu kingine zaidi ya cha kwako,utumie sauti ya chini sana kuongea nayo ili mwenye papuchi asije akaamka akakusikia unajadiliana na papuchi lake bila kumshirikisha.Papuchi kama inajua ukweli itakuambia tu. Ukishaupata ukweli ifunike papuchi yake na uishukuru.
 
Mpaka hapo we ni lofa & falla, yani hujui cha kufanya mpk leo? Mwache tu ataggdwa c ppch haiishi bwana
 
Back
Top Bottom