Nimfanye nini huyu mwanamke???

Nimfanye nini huyu mwanamke???

Natumai mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu popote mlipo kwa upande wangu niko poa
Dhumuni la kuandika thread hii nimetokewa n situation ngeni pengine inaweza kuwa kawaida kwa wenzang...kuna mwanamke mmoja hatufahamian wala hatujawai kutana nimeonans nae week iliopita ktk pitapita zangu akadai nafanana na jamaa yake wa karibu alivyoniambia hivyo nilitabasamu na kuondoka huku nyuma tukibadlishana namba siku ya jana nachatt nae mtandaoni kantumia picha y ninae fanana nae kweli tunaendan kidogo maeneo ya kichwa na pua baada ya muda huyu mwanamke kaanza kutuma message za mahaba muda sio mrefu nita attach screenshot wakuu najiuliza huyu atakua na nia gani nimeshindwa kumwelewa



Msaada pls

Pumbavu sana kwani nini maana ya mahaba?
 
Ulipo badilishana nae namba na mtu humjui, ulifikiri nini..
 
Jamani mbona vitu vingine vya kufikiria wewe mwenyewe si lazima kila kitu mlete huku
 
Mwambie kama anakupenda ajitambulishe kwenu asikuharibie maisha. Teh
 
Back
Top Bottom