man of the year
JF-Expert Member
- Jun 23, 2014
- 422
- 205
- Thread starter
- #21
Kiaje asee??
Simple, mwambie na yeye anafanana na unayetarajia atakuwa mtu wako wa karibu.
Chakukusaidia nipe namba zake hata mimi nafanana na wewe
Natumai mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu popote mlipo kwa upande wangu niko poa
Dhumuni la kuandika thread hii nimetokewa n situation ngeni pengine inaweza kuwa kawaida kwa wenzang...kuna mwanamke mmoja hatufahamian wala hatujawai kutana nimeonans nae week iliopita ktk pitapita zangu akadai nafanana na jamaa yake wa karibu alivyoniambia hivyo nilitabasamu na kuondoka huku nyuma tukibadlishana namba siku ya jana nachatt nae mtandaoni kantumia picha y ninae fanana nae kweli tunaendan kidogo maeneo ya kichwa na pua baada ya muda huyu mwanamke kaanza kutuma message za mahaba muda sio mrefu nita attach screenshot wakuu najiuliza huyu atakua na nia gani nimeshindwa kumwelewa
Msaada pls
Hata hili linahitaji msaada jaman?
Wanaume wasiku hizi jaman,tunatiana aibu duh,ndo nini sasa

Dabo
Tumfanyaje huyu jamaa,anatuvua kende zetu