Nimfanye nini huyu mwanamke???

Nimfanye nini huyu mwanamke???

man of the year

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2014
Posts
422
Reaction score
205
Natumai mko poa mnaendelea vyema na weekend zenu popote mlipo kwa upande wangu niko poa
Dhumuni la kuandika thread hii nimetokewa n situation ngeni pengine inaweza kuwa kawaida kwa wenzang...kuna mwanamke mmoja hatufahamian wala hatujawai kutana nimeonans nae week iliopita ktk pitapita zangu akadai nafanana na jamaa yake wa karibu alivyoniambia hivyo nilitabasamu na kuondoka huku nyuma tukibadlishana namba siku ya jana nachatt nae mtandaoni kantumia picha y ninae fanana nae kweli tunaendan kidogo maeneo ya kichwa na pua baada ya muda huyu mwanamke kaanza kutuma message za mahaba muda sio mrefu nita attach screenshot wakuu najiuliza huyu atakua na nia gani nimeshindwa kumwelewa



Msaada pls
 
[MENTION]Man of the year.[/MENTION]
 
尸水火土木金弓尸十宀田弓火竹田金竹金山田尸弓女竹尸bahaxhaibxba 我要離開在一起去土田鳒u田s火e水n口g難e.
 
Msaada gani sasa unahitaji?machine hazikodishwi so if yours don't work pole yako.
 
Subiri nipige kura nitaja nikushauri baada ya october 25
 
Dabo
Tumfanyaje huyu jamaa,anatuvua kende zetu
 
Chinja ila baada ya kufanya utafiti na kuridhika, usitumie utafiti wa TADIP. Unapotosha!
 
Teh teh....
muombe uroda..ila ukumbuke kondom mkuuu...
 
Back
Top Bottom