usiamini wanasheria, achana na dhana kwamba "nina mwanasheria wangu". kwa kifupi ni kwamba, kuwa na mwanasheria usidhani ni security tosha, bado kuna wanasheria waliojitangaza na wanaokandamiza fee kubwa lakini tumeona wakienda pale kisutu, wanaaibishwa na kugalagazwa na vitoto ambavyo vimefanya kazi miaka hata mitano haijaisha. kwasababu hata kama wanao uzoefu wa miaka mingi, hawana update ya case law za siku hizi na akili zao zinazeeka hawawezi kushindana na damu changa. hivyo pamoja na kuwa na uyo "mwanasheria wako"bado wewe kuna siku unaweza kujikuta upo korokoroni behind the bars. kwa masuala hayo mtu ambaye yuko secure kupita kiasi ni mwanasheria mwenyewe aliyesoma na kuwa na degree ya sheria au zaidi, na ambaye amepractice sheria.Kwa Bahati Nzuri Hizo Process Ulizonipa hata MWANASHERIA WANGU pia alishaniambia kuhusiana na hicho unachosema, Hata Hivyo Nashukuru Sana ndugu Hute Kwa Ushauri wko wa ziada, NIMEAMUA KUMSAMEHE HUYU KIDUDU MTU cz nimeona NITTAPOTEZA MUDA WANGU BURE kwa w2 WENYE UELEWA MDOGO KAMA HUYU..!!!!
Ndo viwango vyake hivyo, nyie mnaotaka kuhongwa ma-NOGI hawaweziWA KISHUA dada anayeomba vocha ya mia tano wewe unadate naye mlimani city kweli anapajua,
na nauli ya kukukuta angeipata wapi?
mbona wapo watu wenye akili zao timamu kwanini usidate nao unafuata watoto wadogo tena wa uswazi,
wakati mwingine angalia na upepo mkuu.
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nika
Dhambi ya uzinz inaktafuna Wakishua!!
Ndo viwango vyake hivyo, nyie mnaotaka kuhongwa ma-NOGI hawawezi
mh...napita tu hapaHapana shida mtu wangu Mamndenyi , yaani nimejilaumu sana kwani naona alikuwa anataka kushusha STATUS yangu huyu KIDUDU MTU ,.ila sio kawaida yangu kuchat na hawa WATOTO WA MBWA sema niliona ningemchunia angeniona NAJISIKIA sana , kwaiyo nikataka nipunguze iyo Gap kumbe JASIRI HAACHI ASILI yaani, Na kusema UKWELI nilitaka kumsaidia kwa mengi sana sema ndio ivyo ameshanitibua na sitaki tena mawasiliano nae , Eti! baada ya kuona huu UZI ananifata na kuniomba MSAMAHA, bnafsi nimemsamehe ila ctaki tena mawasiliano na hizi kasumba, kwani nahisi kuna rafiki zake humu ambao wanajaribu kumdefence cjui wakina SALT SALT mptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu , akiendelea kunisumbua tena nitaweka wazi ID yake humu JAMVINI,..Be Blessed Mamndenyi
ngoja nikwambie ndugu Kemchoo . KULA, KUVAA, KUNYWA c o kesi kwangu na sikuwa na nia mbaya ya kutaka kumuona BIBI cku hiyo ila kwa jinsi KAULI zake alizokuwa anatoa ndio hasa nikamuona ni MTOTO WA DOG , haikuwa rahisi kwa mwanamke mwenye BUSARA zake na mwenye kujiheshimu kutoa KAULI KALI kama alizotoa huyu KIDUDU MTU ambaye nilipanga kumit nae, ictoshe ana2kana mpk w2 wasiohusika yaan WAZAZI hapo ndipo aliponiboa yaani, Kama angenitukana binafsi nisingeweza hata kuleta huu UZI hapa..nataka nieleweke hivyo.
Hapana shida mtu wangu Mamndenyi , yaani nimejilaumu sana kwani naona alikuwa anataka kushusha STATUS yangu huyu KIDUDU MTU ,.ila sio kawaida yangu kuchat na hawa WATOTO WA MBWA sema niliona ningemchunia angeniona NAJISIKIA sana , kwaiyo nikataka nipunguze iyo Gap kumbe JASIRI HAACHI ASILI yaani, Na kusema UKWELI nilitaka kumsaidia kwa mengi sana sema ndio ivyo ameshanitibua na sitaki tena mawasiliano nae , Eti! baada ya kuona huu UZI ananifata na kuniomba MSAMAHA, bnafsi nimemsamehe ila ctaki tena mawasiliano na hizi kasumba, kwani nahisi kuna rafiki zake humu ambao wanajaribu kumdefence cjui wakina SALT SALT mptuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu , akiendelea kunisumbua tena nitaweka wazi ID yake humu JAMVINI,..Be Blessed Mamndenyi
ngoja nikwambie ndugu Kemchoo . KULA, KUVAA, KUNYWA c o kesi kwangu na sikuwa na nia mbaya ya kutaka kumuona BIBI cku hiyo ila kwa jinsi KAULI zake alizokuwa anatoa ndio hasa nikamuona ni MTOTO WA DOG , haikuwa rahisi kwa mwanamke mwenye BUSARA zake na mwenye kujiheshimu kutoa KAULI KALI kama alizotoa huyu KIDUDU MTU ambaye nilipanga kumit nae, ictoshe ana2kana mpk w2 wasiohusika yaan WAZAZI hapo ndipo aliponiboa yaani, Kama angenitukana binafsi nisingeweza hata kuleta huu UZI hapa..nataka nieleweke hivyo.
Hahahahahahahahahahhaha!
Yaani umenichekeshaje! Sasa ushauri wetu badaka ya kumsikiliza loya wako?
(sorry, loya wako ni ruttashoborwa?)
Usinambie umeamini hii hadithi.....