Nimfanye nini huyu kidudu mtu?

inaonyesha na e ni mpumbavu tu mijinaume ya sampuli yako ni tatizo bora huyo dada kakupotezea hufai yani usake nyama gizani ukipata mbichi ndio uitoe juani nenda PM mmalizane sheeeeeeenzi!!
Si utani mijitu kama hii inatuabisha sana wanaume...eti nina hela...haya lala na hizo hela zako sasa alimtafutia nini kidudu mtu?? Udwanzi tu!!!
 
Ha ha ha watu bado wana bomu kivocha 500 ha ha ha we mdada ukisoma hapa unatuaibisha wenzio that is very low hawa ndo wale hawawezi kujipa starehe mwenyewe mpaka kupitia mgongo wa mtu especially mwanaume.
Halafu bado mnadate vibrazamen?ha ha ha mleta mada natamani uweke jina umbea huu
CC😡[.QUkisukari;5552425]uandikaji wako na wewe ni kama check bob fulani hivi.jambo la kwanza wadada wa jf mambo ya kuomba omba hayafai jamani.mtu humjui hakujui,unaanza kuomba hiyo ni sifa mbaya,na unaonekana ni cheap au tapeli.una interest na mtu,nenda nae taratibu.sio wiki ya kwanza unaomba,wiki ya pili unaenda kuchezea dushelee haihuu jamani.huyo mdada alitaka kukutapeli tu,ila mambo ya kwenda kwa mwana sheria ni kama umeenda mbali sana.wewe mpotezee tu.amini usiamini wewe sio wa kwanza kutendwa humu,kuna mmoja alileta uzi wa kuliwa hela zake na mdada wa jf.you need to calm down[/QUOTE]
 
Hahahahahahahahahahhaha!
Yaani umenichekeshaje! Sasa ushauri wetu badaka ya kumsikiliza loya wako?

(sorry, loya wako ni ruttashoborwa?)
Anachofanya anamtishia huyo Demu aone post amtafute.anaonekana Kama kichaa yaani ukikataliwa ndio mahakamani lol
 
Last edited by a moderator:
Pole saana!achana nae huyo!pia ukienda mahakamani utapoteza muda wako tu maana unaweza shindwa hata hiyo kesi!pia jitahidi kitunza siri! Be a man!!
 
huu ni ungese bigtime...kwani ungemalizana nae kimya kimya kama mlivyoanza huko PM ungekuwa si mwanaume??!!!
 


Hasira tu hizo za kuachwa solemba na mwanamke mbabaishaji. Sasa hapo anakosa gani?
Mtu kama wewe haufai kabisa kuwa mfanyakazi wa jamii. Maana kama wakifanya sivo unavotarajia na unavotaka wewe ungewahukumu.
Na kama ungekuwa president ungeua hata raia kwa pesa na mamlaka yako. Jinga la mawazo, hauna busara hata kidogo wewe. Na mwana sheria wato, ni mcharuko.
Unataka kumiliki minadam sababau ya pesa? utachinjwa wewe.

Nahisi wewe ni mtoto haujakomaa akili, na unafikiri pesa tu ndio unaweza kufanya kila kitu.
umekubali kuuza ngombe kwa kesi ya kuku.
Lugha yako ni chafu, utamuambiaje mwanamke eti hasishindane na wewe eti unamahela.
Watu wenye mahela hawajitambi na wala kujisifia kihivo. Ndio maana kakutukana


USHAURI. mchezee picha. Badili jina hapa JF na badili phone nr. Mtafute mtandaoni, siku anaingia mikononi mwako, unamtandika haswa, hadi anakoma kusumbua watu. Akienda kushtaki unasema alikuibia hela.
 
we lazima n rweimamu, tena inawezekana we ndo ulimtafuta mwenyewe! kakunyooshaje safii....
 
CCM WAMESHAWAARIBU VIJANA na haka kausemi "NTAONGEA NA MWANASHERIA WANGU"
 
Huwa mkiptwa na tatizo ndio mnasema mambo yenu ya pm! Hivi kweli ulishindwa kuyamaliza?
Hapa sijui unataka ushauri au?
Nina uhakika huwezi kushinda hiyo case au hata kumsue maana grounds zako ni nyepesi sana!

Ni vyema mkachagua vya kupost!

 
Unajua mambo mengine tunayataka wenyewe! Hivi anadhani itakuwa rahisi kumfunga kama anavyo dhani?

Bora umemshauri maana nahisi hata akihamua ufungua case atashindwa tuu!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…