Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
Usinambie umeamini hii hadithi.....uandikaji wako na wewe ni kama check bob fulani hivi.jambo la kwanza wadada wa jf mambo ya kuomba omba hayafai jamani.mtu humjui hakujui,unaanza kuomba hiyo ni sifa mbaya,na unaonekana ni cheap au tapeli.una interest na mtu,nenda nae taratibu.sio wiki ya kwanza unaomba,wiki ya pili unaenda kuchezea dushelee haihuu jamani.huyo mdada alitaka kukutapeli tu,ila mambo ya kwenda kwa mwana sheria ni kama umeenda mbali sana.wewe mpotezee tu.amini usiamini wewe sio wa kwanza kutendwa humu,kuna mmoja alileta uzi wa kuliwa hela zake na mdada wa jf.you need to calm down
we huiamini!!hebu nirushie tigo ya 500 nikuambie ni nani mhusika!!Usinambie umeamini hii hadithi.....
we huiamini!!hebu nirushie tigo ya 500 nikuambie ni nani mhusika!!
Wakishua, mimi nimesoma hii report yako na kimoja nichoweza kukushauri ni kuwa wewe na huyo dada wa JF unayemwita kidudu mtu hamna tofauti kubwa kitabia, labda kwa kuwa yeye ni wa Tandale na Wewe ni wa Kishua, lakini wote mko sawa tu. Kikubwa msameheane tu maisha yaendelee..Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
Asalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,
Kuna Demu nilikutana nae kwenye mtandao huu wa J.F juzi juzi tuu hapa., Nikaona ananiPM Kwa Sana Nikaona Kama AnaInterest Na mm, Basi 2kachat kwa JF mpk ikafkia hatua 2kapeana Namba,..Kiufupi Kwa Jinsi nilivyomuona ni mwanamke mwenye uelewa mdogo alafu naona Bdo anaelement za KISWAHILI , kama Mizinga Ya Vocha Alafu bora ingekuwa Mizinga Mikubwa Eti NAomba Nirushie Vocha Ya Mia 5 Kwa Simu, Kwa Kuwa Mimi MOTTO wangu ni kutokuonga nikamchomolea siku ya kwanza aliponipiga Mzinga Huo,..2kaendelea kuchat ikafka muda wa Kumeet, Mtoto Nikamwambia 2mit Mlimani City Pale Chicken Heart, akasema Poa, sasa Jana Mimi Npo Na Goons Yangu maeneo yale ananipigia Simu Anakuja ila kuna sehemu kapitia, Nikamchana kwmb c o kesi Mimi bdo nipo kwani kikao changu ni kikubwa , nikamweleza Majeshi nanyanyua saa Sita, Ilipofka Mida ya saa2 akani2mia Txt Kwamba ameghairi kuja cz kuna mambo anafanya kwaiyo 2fanye cku nyingine, Nikamwambia Mbona unakuwa Mswahili Namna Hiyo, Basi Nilipomwambia Hivyo akaanza kuporomosha lugha za kwao Tandale kwa Tumbo Plus matusi Kibao Yaani.,Mimi nikamwambia hawezi kushinda na mtu mwenye hela na ambaye yupo kwenye system ambaye ni mimi, Akaendelea kunitukana,Na Matusi Juu.,Eti anasema ninamforced sana .Sasa Leo asubuhi Nimeongea na Mwanasheria Wangu Kuhusu hili Jambo Amesema yeye ananickiliza Mteja Wake,.Kitu Kilichofanya nilete Uzi huu Hapa Ni kwamba, Uwezo Wa Kumpata na Kumchukulia Hatua Ninao , Sema naona Nitapoteza Muda wa Kutafuta Hela,.Ictoshe huyo Mtoto Wa JF ni Kajamba NaNi, WANAJAMVI NIMFANYAJE MTU WA NAMNA HII , USHAURI NITASHUKURU ILI NICJE NIKAFANYA JAMBO BAADAE NIKAMUONEA HURUMA...
uandikaji wako na wewe ni kama check bob fulani hivi.jambo la kwanza wadada wa jf mambo ya kuomba omba hayafai jamani.mtu humjui hakujui,unaanza kuomba hiyo ni sifa mbaya,na unaonekana ni cheap au tapeli.una interest na mtu,nenda nae taratibu.sio wiki ya kwanza unaomba,wiki ya pili unaenda kuchezea dushelee haihuu jamani.huyo mdada alitaka kukutapeli tu,ila mambo ya kwenda kwa mwana sheria ni kama umeenda mbali sana.wewe mpotezee tu.amini usiamini wewe sio wa kwanza kutendwa humu,kuna mmoja alileta uzi wa kuliwa hela zake na mdada wa jf.you need to calm down
nimeamini kabisa.kwa sababu kuna watu humu walilalamika kwa issue kama hiziUsinambie umeamini hii hadithi.....
nimeamini kabisa.kwa sababu kuna watu humu walilalamika kwa issue kama hizi
She is smart amesikiliza intuition yake na amepata cold feet.mwanasheria kwa sababu hakutaki ?she rejected you na hakutaki tena .she is very luck inaelekea kuwa very controlling and abusive and insecure .she rejected you fine move on get somebody else .unamrishia mwanasheria kwa ajili ya penzi bwana .pesa ulituma mwenyeweAsalaam Alleykhu Wale ndugu Zangu na Bwana Asifiwe , Hope Wanajamvi wote mpo poa.,