Habari za muda huu wana jf!
Naandika huu uzi kwa masikitiko makubwa sana juu ya huyu mtoto wa shangazi yangu,
Mnamo mwaka 2012 mwezi disemba shangazi yangu alifariki dunia kwa ugonjwa wa kifua kikuu (TB) , akaacha mtoto mmoja aliekuwa darasa la 2 na mwaka huu ndio anamaliza darasa la 7 mwezi wa 9,
Tatizo la huyu bwana mdogo yupo kwenye balehe hivyo amefikia hatua ya kufanya mapenzi na mdogo wangu anaesoma darasa la kwanza yaani mtoto wa mama yangu wa kambo , na mama wala baba hawajui,
Mimi niliambiwa na wadogo zangu wawili wa kike wao wanasema walimfumania mubashara,
Nilipombana huyu mdogo wangu wa darasa la kwanza akasema huyu bwana mdogo alikuwa anamlazimisha , mara amnyatie chumbani mara amng'ang'anie jikoni,
Mpaka hapo ushahidi umekamilika manake hata kama niliwahi kufanya mapenzi na mama yangu mdogo yaani mdogo wake na mama yangu wa kambo sitoweza kukubali huu ujinga wa huyu bwana mdogo,
Nishaurini nimsemee kwa mama na baba au nimcharaze bakora mimi mwenyewe tena akiwa uchi,