Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada
Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.
Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .
Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.
Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .๐
Asante sana mkuu . Mwaka mpya nipo kiti cha mbele kabisa hapoKaribu chama cha mabazazi, kikao kila tar 1 januari...
Read careful the passage, u will go directly to the advice and techiniquesWewe ni jinsia gani na umri wako ni muhimu tuujue ili tupate pakuanzia kushauri.
Pesa sio tatizo Mzee ๐Sbb labda anaona huna hela, tafuta hela utaona yeye ataanza kukutongoza na kukubembeleza, labda huyo msichana anaona utamzidishia umaskini katika maisha yake, yaani tayari anaona kwako maisha hayataenda anavyoona yeye, so achana nae tafuta hela kwanza, wasichana wapo kila wakati.
Hapa nisepe tu๐Hadi hapa ushamaliza kazi, imebakia kupewa zawadi ya ushindi tu...
Nikihesabu 1 mpaka 3 uwe ushapotea hapa umemfuata huyo mchuchu kuyajenga...
๐๐๐๐Ha ha ha Sasa Mkuu unataka kuoa kabisa binti anataka wewe uwe mchepuko?
Daaaaah.
Upcoming sredi ya kuchapiwa
Kajimtu Fulani hivi, ngoja nikamilishe primary purposeUnataka kuoa mwanamke ambaye hana akili kiasi hicho ili ugundue nini mzee, hauoni kama huyo mtu ni tatizo?
Acha ufala, huyo hahitaji maneno anataka vitendo acha u
Acha kutishia usalama Mzee๐Kuna jambo hamjagundua hapa JF. Siku hizi kuna watu wengi kweli wanafungua thread za kuonyesha ''ubwege na uzoba'' wao kwa wanawake ili members ambao ni wanaume wakasirishwe na uzoba wao. Yaani wanataka tu ku-provoke watu.
Sawa Mkuu wangu, nipo nachat nacho hapaKubali Kuwa Mchepuko Kula Tunda Muda Wenyewe Hautoshi
Sawa Mkuu wangu๐Ashakubali kuchimba kisima Sasa unatka Nini zaidi hapo unauwezo wa kumfamya ata akaachana na huyo bwana mwenzako kwa kufanya Jambo mwenzio akajua au ukimkoleza .
Ila adhari ya hawa watu huwa wakikutana na gumu kwenye Ndoa hulaumu sana na kuona kuwa hakufanya chaguo sahihi