Nimfanyaje huyu?

Jibu ni A😂😂
 
My focus ,kabla ya mwaka hujaisha nipate malipo yangu ,nahitaji mbinu tu,kwa sababu hata nikimwitaji atakuja tu
Mbinu ni kukubali kuwa mchepuko na kumchezea mpaka ashike mimba yako alafu unakaza fuvu kumkataa ili akung'ang'anie.

Mademu za watu ndiyo tuna ibaga hivyo kijanja
 
Unataka kuoa mwanamke ambaye hana akili kiasi hicho ili ugundue nini mzee, hauoni kama huyo mtu ni tatizo?
 
Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.
Hayanaga muongozo...
 
Wewe ni jinsia gani na umri wako ni muhimu tuujue ili tupate pakuanzia kushauri.
 
Una miaka mingapi?

Hapo yupo tayari akupe mzigo (****) ila wewe unataka mahusiano.

Chapa pita hivi. Mahusiano ya pekee ni wewe na Mungu. Mengine mapitio.
Tafadhali amri ya sita na izingatiwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…