Nimfanyaje huyu?

Acha ushamba Nan akupende dunia ya Sasa km vp mvungie tu
 
Pa1

Pamoja sana, nipe mbinu hata za kumkula kimasihara nijipongeze kwa usumbufu
Umemnunulia nguo vizuri

Nunua nguo nyingine

Piga picha nguo zote kali ulizomnunulia mtumie whatsapp

Halafu mkaribishe aje kuzichukua ila hakikisha umenunua chumba cha guest house ya hadhi na yenye utulivu analika huyo
 
Jamaa yuko na demu zaidi ya mwaka, anamtoa out, demu anamuita "baby" hapo kuna haja gani ya kuendelea kumtongoza demu kama huyo? Huyo ni kushika mkono tuu unachukua chumba lodge iliyo karibu unamaliza mchezo.
Kwa maelezo ya sasa hivi nakubaliana na wewe...
Hapo naona kabisa kwa mbili imeisha kwa mbili imeisha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Anza kwanza kuwa mchepuko,
Mwanamke anapenda mwanaume mmoja tu
Huyu dogo haelewi hata maana ya kuambiwa awe mchepuko.

Hapo ni kwamba demu yuko tayari kuliwa sema dogo ndio anambwelambwela.

Kwanza ukute demu wala hana mtu
 
Aisee
watoto wa siku hizi mnashida sana, yaani mpaka kutongoza mnataka wazee wenu tujishughulishe na huko...
Lakini ni kweli, papa kaleta changamoto sio kidogo,
Ni hivi, kasome kitabu cha NGOSWE.......
Wanasema ya "Ngoswe", muachie "Ngoswe"

 
Mkuu bado unalamba KAMASI?
 
Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .πŸ™
Nilikuwa naonaga watu wanaandika "I don't want peace, I want violence" nilikuwa nachukulia kama meme tu, ila kupitia wewe ndio naamini kumbe zile sio meme tu, mpo watu wa hivyo.


Demu ameshakwambia mara kadhaa kuwa ana mtu wake, umefosi weee mpaka anataka akupe nafasi ya kuwa mchepuko ila wewe unataka umuoe. Hujiulizi why hataki kiachana na huyo jamaa yake? Unadhani ukiwaachanisha akaja kwako, mtakuwa na furaha?

Huyo hata ukimuoa, still atakuwa anaenda kwa jamaa kwa kutumia hela ambazo utakuwa unamuachia home kama za matumizi.

Alafu kingine, inabidi wanaume ifike hatua akili zibadilike kidogo. Mwanamke kutokukupiga mizinga sio kipimo Cha upendo hata kidogo. Ni vile mahitaji yake kuna namna yanatimia bila uwepo wako, sasa jiulize nani anayatimiza.
 
Huyo bado ana akili za kitoto anasikilizia huku na huko , Kubali kuwa mchepuko, hakikisha unamchezea mpaka atakaposhika mimba yako alafu una mkataa ili yeye akung'ang'anie
 
My focus ,kabla ya mwaka hujaisha nipate malipo yangu ,nahitaji mbinu tu,kwa sababu hata nikimwitaji atakuja tuπŸ™
 
Unafeli wapi mkuu. Kashakwambia kua mchepuko. Unakubali then unamdunga mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…