Nimfanyaje huyu?

Daaah pole sana..
Huyo ana mtu wake tena ni mwanajeshi yupo kozi flani arusha nahisi..

Wee uchukuage simu yake kisha angalia whatsap text zake.
Utaniamini..๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Unakua cyber alafu mambo madogo kama hayo yanakushinda mkui
 
Kama Kuna kaukweli Fulani๐Ÿ˜”
 
jibu lipo wazi mvalishe pete ya uchumba na ukatoe posa kwa so simple
 
Au nikupe story ya hassan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Oyaa weee oyaaa weeee๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
Foshizo shika shika. Weeeeeeeeh๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ

Oyaa wahuni niwape story ya hassan,
Oyaa wahuni niwape story ya hassan,
๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
Hassan huyu huyu hassan mtoto wa jirani,๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ

Juzi kati kafumwa na mke wa jirani,
Kufa au kubakwa kaulizwa achague nini,๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ

Hassani amepona nauliza amefanywa nini.......๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ
 
Kosa la kwanza unalofanya ni kuendelea kumtongoza demu ambae kiuhalisia alishakukubalia siku nyingii...

Mwanamke akishakubali kutoka na wewe out na kuspend mda na wewe, huyo kashakubali kwa asilimia zaidi ya 60. Tatizo lako unataka mpaka akuambie

"SAWA NIMEKUBALI" Mzee hapo utasubiri sana.
Hapo inatakiwa ujanja kidogo sana kumla wala huhitaji kuongea nae chochote tena.
 
Uwongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ