Una miaka mingapi?Wasalamu wapendwa, mabibi na mabwana ! Itifaki imezingatiwa.
Niende Moja kwa moja kwenye mada
Kuna Binti namtongoza Sasa ni mwaka umepita, majibu yake ni kuwa ana mwanamme. Lakini hakosi kunitafuta,Kuna kipindi Huwa namsusa lakini utakuta kanitafuta na kunilaumu kuwa simtafuti naishia kumwambia niko busy. Tunaendlea kuchati namtongoza Tena majibu yaleyale ana mpenzi.
Wiki mbili zilizopita kaanza kuniita baby,baby, namwitikia tunachati tu, X-mas nmemtoa out huyo kaja nkamnunulia nguo, na urembo mbalimbali apendeze .
Jana nmemtongoza Tena, majibu yakawa vilevile, ana mtu labda niwe mchepuko, nkakaushia. Kanipigia mchana kanipa hai, jioni hii pia kanicheki kuwa anaumwa ,kauliza nmekula? na blaa nyingine.
Naombeni mbinu, za kumpata mazima ,nataka nimuoe kabisa,ndo mana simpotezei sana, nisaidieni mbinu zozote Ili nipunguze matumizi ya maneno. Hapigi mizinga hata out nmeamua mwnyewe, hata Masai mwenye zile dawa anicheki inbox .🙏
Umchezee yeye au yeye akuchezee?Ningekua mimi ningemchezea tu basi
30, nitafanyia kazi ushauri wako 🙏Una miaka mingapi?
Hapo yupo tayari akupe mzigo (****) ila wewe unataka mahusiano.
Chapa pita hivi. Mahusiano ya pekee ni wewe na Mungu. Mengine mapitio.
😁😁Asante sana mkuu🤣🤣🤣 ameshajua kuwa wewe ni zoba, anakuzea tu anavyotaka siyo bure na mkwanja anakupiga 🤣🤣🤣 pole thana kijana.
😁✍️Umchezee yeye au yeye akuchezee?
Hujaona anaambiwa awe mchepuko? Mwanamke hana future naye.
Sasa kama tayari kashajipata wake, nani anamchezea mwenzie?
Rekebisha useme, ingelikuwa ni wewe ningechezewa tu basi.
😁😁😁Malizia kwanza hiko kipisi cha bange kilichobaki.
Hana uwezo huo, mi natafuta 18 zake zilipo basi😊Anakupotezea muda. Mpigie kimya. Hata akija kukubalia bado ataweza kuwa na mtu mwingine wakati yuko na wewe.
Acha ubwegereee kijana. Chapa pita hiv... Huyo.mbona anachapika tu30, nitafanyia kazi ushauri wako [emoji120]
30 bado hivi vitoto vinakuhangaisha30, nitafanyia kazi ushauri wako 🙏
Pa130 bado hivi vitoto vinakuhangaisha
Mwanamke wa kuolewa hujui sifa zake?
Mbona huyo binti anayekuchanganya kichwa mbona hana sifa za kuwa mke wa mtu unamngangania wa nini?
USHAURI WANGU MUACHE ILI USIJUTE HUKO MBELENI
Pamoja sana, nipe mbinu hata za kumkula kimasihara nijipongeze kwa usumbufu30 bado hivi vitoto vinakuhangaisha
Mwanamke wa kuolewa hujui sifa zake?
Mbona huyo binti anayekuchanganya kichwa mbona hana sifa za kuwa mke wa mtu unamngangania wa nini?
USHAURI WANGU MUACHE ILI USIJUTE HUKO MBELENI
Ndo naitaka hiyo mbinu Mr.443Acha ubwegereee kijana. Chapa pita hiv... Huyo.mbona anachapika tu
Mchepuko 😊Kuwa mchepuko tu.
Najaribu kuwa mjinga ili nione nampumbaza wapi😊🤣🤣🤣🤣
Unawakati mgumu sana kijana