Nimfanyaje huyu dada

Fanya kile ambacho moyo wako unatakakufanya ila usije kujutia..... KUwa wewe kama wewe na toa maamuzi....

Pia siyo vibaya kukaa naye mahali na kuongea kujua nini msimamo wake kwako.. then kuanzia hapo utapambanua kaka..
 
.
Kila mtu anajua kutoa maamuzi, lakini kama external force ni kubwa hapo ndoo mambo hugoma. Kukaa naye maana yake umelewa somo , na hapo ndoo anaweza chukua advantage. cha msingi nafikiri nikwenda hapo mara nyingi hadi hapo nitakapo jua kama ni moto wa nyasi au kweli amedhamilia. Ni kawaida watu kuwa na feeling fulani kwa nyakati fulani tuu. So ngoja nicheck mambo yanaendaje, ongea naye, zunguamza naye kawa kawaida mwisho jibu litakuja. Ukiuliza kila mtu alikutana wapi na mwenza wake, utashangaa.
 
Back
Top Bottom