Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,184
- 18,510
Wana jf naomba ushauri. Kuna dada anafanya kazi sehemu moja inayo toa services. Ni dada mzuri, msafi, anajiheshi, anaelimu nzuri na muungwana. Tatizo Kila nikienda hiyo sehemu kupata service nakutana na vituko. Sometimes akiniona ni kama anachanganyikiwa. Siku moja nimepita hapo akawa anaongea na jamaa kwenye simu alipo niona akaweka loud speaker. Huyo jamaa alikua anamwomba amwoe na yeye akawa anakataa. Siku changia chochote nikauchuna. Siku nyingine akaniambia nimevaa vizuri kama nakuja kumwoa. Nikamshukuru kwa compliment yake lakini sikuongeza lolote. Jana sijui kapeleleza wapi akaniambia kitu ambacho alipaswa kuniambia mtu ambaye nipo naye karibu nina maana amepeleleza hadi amajua hicho kitu.
Sasa naomba masaada maana juhudi anayo fanya huyu dada, naona kama namwonea kutoonyesha any positive response. Namheshimu, i mean sijaonyesha dharau yoyote. Nifanyaje na je nimawazo yangu finyu. Note. Samahani sina maana sipendi anacho kifanya (nafurahia mno) lakini kutojua na kutokuwa makini kunaweza kunigharimu.