Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
mazee, mnanihukumu sana..lakini hamna tabu..nachuja vinavyonifaa na kuvifanyia kazi..umri wangu ni 29..so i am matured eneough..huwaga nakwenda kusali na si vingine.. ila huyu dogo , amefanya ni utaratibu wake kuja kukaa na mimi, mpaka umenishangaza sana..ikabidi niufikishe kwa critical thinkers kwa ushauri na si hukumu..wakati mwingine nakuwa na vyangu lakini kwanini hakai mahali pengine popote isipokuwa ninapokaa mimi tu?? hilo ndo swali..the first time we seated together ilikua ubatizo wa mtoto wa kaka yake from what i saw..then nkajua imeishia hapo..the next sunday.. i saw her , she came straight to my seat..nkajua kawaida..then the next sunday and another and another..nkaona alaa kumbe huu ushakua utamaduni? na mara nyingi hapa church kwetu wanaokaa pamoja ni wenye ndoa tuu..sasa hii itaanza kuleta picha gani..kuwa she is my wife???
Anataka upako toka kwako
Wadau, nimfanyaje huyu binti, tunasali kanisa moja, ila anapenda sana kuja kukaa pale ninapo kaa mimi kila mara wakati wa misa, atategea kuona nakaa wapi atakuja kukaa hapo hapo, na mara nyingi hupenda kushare na mimi vitabu vyake vya nyimbo na neno.
Hivi ni viashiria gani..anataka nimtongoze ama anjisikia vizuri tu kukaa na mimi..jumapili iliyopita nilifikiri atachelewa lakini kaja muda uleule, na kanifuata moja kwa moja kukaa na mimi..ni mzuri tu..ila najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kutupa ndoano nisije jutia bure..msaada tutani
Mkuu mie nakushauri nenda misa ya pili kama umezoea kwenda ya kwanza au vice vesa, hapo utakuwa umesolve tatizo if at all hayupo akilini.