Nimfanyaje huyu binti..

Mkuu mie nakushauri nenda misa ya pili kama umezoea kwenda ya kwanza au vice vesa, hapo utakuwa umesolve tatizo if at all hayupo akilini.
 
siyo huyo tu bali yupo
na mwingine, ila huyu new girl amempiku mwenzie naona yule mwingine
kanuna amehama mpaka benchi..she is cute kwakweli..i am tempted..i seat
the same place every day..na anakuja mwenyewe..tena she looks for
me..sijamfata yeye..not below 18 ofcourse ..matured ..both are..

Hayo maswali uliyouliza hapa yeye ndio ana majibu yake,sasa muulize anachotaka kwako na jibu lako litakupa mwanga wa nini ufanye.
 
Aaa ndugu zetu wakristo mna bahati kwlei kweli yani mnaweza kutongozana hata kanisani.

Bora nibakii kuwa muislamu, thanks God kwa kunajalia kuwa muislam hata kama ni wa jina tu :A S shade:
 
Unauliza vitu gani Mzee...
Halafu nyie ndo mnakujaga humu kwa "Forum" na kuanza natafuta demu mcha MUNGu anayeenda kanisani na biblia na vitabu vya nyimbo....pambafu
 
usije ukatongoza watoto wa under 18,shauri yako.mwache binti wa watu kama alivyo.wewe si unaenda kanisani kusali?fata kilichokuleta kanisani.kama unae mpenzi huyo uliekuwa nae anakutosha.
Aaah Kisukari, watu wanaenda Kanisani kwa Malengo mengi, moja wapo ni kutafuta wachumba, huenda mleta uzi ni mmoja wapo so Mungu kamdondoshea, kamtafunia sasa asj=hindwe mwenyewe na kuja kumlaumu Alah Baadae
 
Wadau, nimfanyaje huyu binti, tunasali kanisa moja, ila anapenda sana kuja kukaa pale ninapo kaa mimi kila mara wakati wa misa, atategea kuona nakaa wapi atakuja kukaa hapo hapo, na mara nyingi hupenda kushare na mimi vitabu vyake vya nyimbo na neno.

Hivi ni viashiria gani..anataka nimtongoze ama anjisikia vizuri tu kukaa na mimi..jumapili iliyopita nilifikiri atachelewa lakini kaja muda uleule, na kanifuata moja kwa moja kukaa na mimi..ni mzuri tu..ila najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kutupa ndoano nisije jutia bure..msaada tutani
Kama kanisani ulienda kwa Minajili ya Kumuomba Mungu akupe Mchumba, basi Mungu kajibu maombi yako
 
mtego huo kk, kashakupenda huyu ila kwa kuwa unaenda chachi kusali na kuomba msamaha we mpotezee uone km yuko serious ataendelea kupenda kukaa nawe, but muombe Mungu sana usije ingia majaribuni.
 
Wadau, nimfanyaje huyu binti, tunasali kanisa moja, ila anapenda sana kuja kukaa pale ninapo kaa mimi kila mara wakati wa misa, atategea kuona nakaa wapi atakuja kukaa hapo hapo, na mara nyingi hupenda kushare na mimi vitabu vyake vya nyimbo na neno.

Hivi ni viashiria gani..anataka nimtongoze ama anjisikia vizuri tu kukaa na mimi..jumapili iliyopita nilifikiri atachelewa lakini kaja muda uleule, na kanifuata moja kwa moja kukaa na mimi..ni mzuri tu..ila najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kutupa ndoano nisije jutia bure..msaada tutani

Hata shetani huhudhuria katika ibada pindi wana wa Mungu wanapoabudu( Ayubu 1:6). Take care!!!
 
Wadau, nimfanyaje huyu binti, tunasali kanisa moja, ila anapenda sana kuja kukaa pale ninapo kaa mimi kila mara wakati wa misa, atategea kuona nakaa wapi atakuja kukaa hapo hapo, na mara nyingi hupenda kushare na mimi vitabu vyake vya nyimbo na neno.

Hivi ni viashiria gani..anataka nimtongoze ama anjisikia vizuri tu kukaa na mimi..jumapili iliyopita nilifikiri atachelewa lakini kaja muda uleule, na kanifuata moja kwa moja kukaa na mimi..ni mzuri tu..ila najiuliza mara mbili mbili kama ni sahihi kutupa ndoano nisije jutia bure..msaada tutani

heeee kumbe kanisani kuna mambo eeh inaezekana akawa pepo kemeaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
mazee, mnanihukumu sana..lakini hamna tabu..nachuja vinavyonifaa na kuvifanyia kazi..umri wangu ni 29..so i am matured eneough..huwaga nakwenda kusali na si vingine.. ila huyu dogo , amefanya ni utaratibu wake kuja kukaa na mimi, mpaka umenishangaza sana..ikabidi niufikishe kwa critical thinkers kwa ushauri na si hukumu..wakati mwingine nakuwa na vyangu lakini kwanini hakai mahali pengine popote isipokuwa ninapokaa mimi tu?? hilo ndo swali..the first time we seated together ilikua ubatizo wa mtoto wa kaka yake from what i saw..then nkajua imeishia hapo..the next sunday.. i saw her , she came straight to my seat..nkajua kawaida..then the next sunday and another and another..nkaona alaa kumbe huu ushakua utamaduni? na mara nyingi hapa church kwetu wanaokaa pamoja ni wenye ndoa tuu..sasa hii itaanza kuleta picha gani..kuwa she is my wife???
 
mleta uzi umenisikitisha sana. Hivi unadhani kuna mahali maalum pa kuanzisha mahusiano? Yaani unataka hadi ukutane naye BAR, workshop, au tamashani ndo utupe nyavu. It's anywhere man, including all those funny places like toilet, and holy places too. Wake up and throw your dice. Talk to her, she's only human.
 
Kaka, una pepo la ngono.Kuna ubaya gani wa yeye kukaa na wewe? Ukizingatia hakuna private rooms kanisani.
Nakushauri ufunge na kumuomba Yesu wako akutoe huko muovu shetani anakokupeleka....Hujapigiwa ngoma unajichezesha?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom