Jinga sana wwdaaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa... Atuletee mrejesho wakati atakapolipiziwa na mjinga mwengine kama yeye. Au vipi?SIFA za KIJINGA
Sawa jisifie kula mke wa MTU na wewe ujue malipo ni hapa hapa duniani na wewe wako ataliwa tu
Mtenda akitendewa hujihisi kaonewa... Atuletee mrejesho wakati atakapolipiziwa na mjinga mwengine kama yeye. Au vipi?
Viroba at work, usiingize mambo ya parents kwenye upuuxi km huu ww umelelewaje?
uzini wangu wote sijagusa mke wa mtu nahisi uchafu tu.
we mpuuzi huyu kamtomba mke wa mtu si parents hiyo?rudi shule,ndo mana nikamkumbusha ukila jiandae kuliwa rules of engagement inaitwa,
wa kolomije hamuwezi kuelewa
mi si mgonjwa si mtoto sijawahi hata kutamani mke wa mtu,nakumbuka mmoja tu aliwahi kutegesha nikagegeda mkigoma yule akahama kwa mumewe bila taarifa na kuja kwangu nikamrudisha kwa mumewe.Hivi kweli kuna mtu (si mtoto si mgonjwa) ambaye hajawahi kuzini na mke/mume wa mtu katika dunia ya leo?
Hata muda wa kwaresma unashindwa kujiepusha na hayo mavitu mkuu?daaaaaaaaah hapa nimetoka kuvushwa na mke wa mtu ni muda mrefu sana huyu demu anadai ananipenda na hata mm pia nampenda ni mzuri kweli sasa leo nimevunja amri ya sita ya mungu wangu na kesho naenda kanisani tena nimepagwa kusoma neno la mungu, roho inaniuma kweli kuvushwa na mke wa mtu je jamaa angenikuta ningekuwa na wakati gani na ananipata vizuri tu as a friend, ila demu yuko pw sana tena sana nimefaidi japo kwa woga na yeye amefurahia mapigo yangu kweli jamani mke wa mtu ni mtamu lkn usishike, roho inaniuma bc tu ngoja nilale Mungu huyu, naomba unisamehe tu
inawezekana huyo mke wa mtu ni mama fulani pia,tafakariMama anahusiana vipi na huu ungese? Umentia hasira na comment yako...