Nimezinduka naenda UKAWA

Nimezinduka naenda UKAWA

Waambie wanaCCM wote nimezinduka nimeenda CHADEMA/UKAWA na sitarudi tena CCM nabaki UKAWA. Tuonane Oktoba 25

Sema kipi kilichokuzindua utufaidisha na sisi wengine ambao hatujazinduka labda twaweza zinduka pia, kusema tu nimezindukahakutoshi
 
Hahahaaaaa, hata mimi ujue nina jamaa yangu mmoja ni mnazi wa CCM na mimi Chadema.
Sasa mwaka 2012 aliwahi kunishauri kuwa nikitaka yangu yaniendee basi niwe na kadi ya CCM na alitaka kuniletea, lakini kutokana na chuki yangu dhidi ya CCM nilimkatalia katakata.
Ila kiukweli yale maneno yake yana ukweli kwa kiasi fulani. Ningekua nimeshapiga vitu vya maana huku nikijua kura yangu ni kwa Chadema.

Baada ya huu uchaguzi tahakikisha vyama vyote vilivyosajiliwa nina kadi zao za uanachama hadi cha Mtikila.
 
Hahahaaaaa Ng'wanapagi umenichekesha sana.
Mtikila siye kabisa,shauri zako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom