Subiri ukawa washinde ndo utajua kwamba ni CCM B AU CCM C.safar njema unawaga CCM A unaenda CCM B
Agenda ni moja tu!
Kuitoa CCM madarakani.
Mkuu karibu kwenye timu ya ushindi!!!!!
kama ni kweli weka pichaWaambie wanaCCM wote nimezinduka nimeenda CHADEMA/UKAWA na sitarudi tena CCM nabaki UKAWA. Tuonane Oktoba 25
kama ni kweli weka picha