BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,838
Toka nje piga miluzi hadi kwenye chips, halafu ukirudi unakuta katia mlango komeo wamezima na taa wamelala, ili kesho uje umepasuka kabisa! Jokes[emoji23] , jitie utani wa ghafla na ucheshi mwiiiingi huku unapakua msosiAsubuhi nilisahau funguo, wife akatoka then kachelewa kurudi. Chakula alikuwa ameshapika
Sasa hasira za kuniweka nje ya nyumba kama saa zima nimeletewa chakula nimezila, nilijua wife atanibembeleza kumbe akasema poa. Kachukua chakula kaweka kwenye fridge
Mchana sikula, nikasema nitakula home usiku. Hapa njaa inauma balaa lakini sina cha kufanya
Ila huyu mwanamke hata kunibembeleza kidogo jamani, Usiombe yakukute
Hii comment ni shida.Wife wako katoka kuliwa amebinuliwa kila style kajichokea ananuka janaba badala ya kupumzika aanze kubembeleza jitu zima, kwanza anaona umempunguzia kazi.
Kha! We jamaa mbabe wewe! Alafu unachoongea ni kweli. Yani vidume vya siku hizi ni vioga mbele za wake zao! Sijui wamelishwa nini!Mwambie mkeo akuandalie chakula unaskia njaa.. hayo ndio majukumu yake.. alafu wanaume wa siku hizi unawaogoba wake zenu kama wamewatolea mahali.. mtume akuandalie chakula wakati wowote hata saa 8 usiku..ndio kazi yake