Kwanza kabla hujaendelea mbele jiridhishe huyo mtoto kama ni wako,maana inawezekana kwa kiwango kikubwa pia amekuchomekea
Chagua kati ya haya,tafuta cha kukuweka busy na usijishughulishe nae kabisa, siku mmoja mtandike makofi na umwambie heshima ikae kati
mvumilie tu huku ukimbembeleza abadilike na ujifanye zoba haswaa.
Kuhusu kumchapa makofi naona ndo itakula kwangu wanawake nowdays wana msaada mno ukishamchapa makofi utaishia polisi tu naona bora nitafute cha kuniweka busy nimpe ruhusa aende zake
Hivi wewe unaishi nyumbani kwake? Au anaishi nyumbani kwako. Maana inaonyesha bado hujamuoa na usikute mtoto mwenyewe siyo wa kwako. Mwache aende mtoto utamchukua akikua kama kweli wa kwako.
Somtym najuta kwa nn nilikutana nae! Na kumuacha itakuwa shida kwa mwanangu lakin kwa hali hii si mbaya nahc sitakuwa wa kwanza
Ilifikia hatua hata mimi nikajiuliza ninaoa au naolewa! Hakuna jinsi tena namwacha tu
Ilifikia hatua hata mimi nikajiuliza ninaoa au naolewa! Hakuna jinsi tena namwacha tu
Bwanae Baba Nikichwa, Naanastahiri Heshima Kama Mume Nababa, Kama Anakudharau Yanini Kujitesa Mwisho Uwe Mteja Wa Dawa Za Presha Nasukari? Mke Mpumbavu Ndani Nisawa Nakidani Chadhahabu Kwenye Pua Yanguruwe, Tafuta Wahadhi Yako Funga Nae Ndoa, Ndo Ajue Mume Anatakiwa Heshima Si Dharau, Kuzaa Namtu Isiwe Shida, Chukua Hatua Kaka
yani wewe mleta uzi nadhani hazikutoshi vizuri, mna miaka miwili kwenye mahusiano,umemzalisha mtoto wa watu hata kwao bado hujaenda kumtolea mahari unataka tena akupe k,,usikute matunzo yenyewe magumashi maneno mengi vitendo zero kwanini asikudharau?.jitazame upya kasoro zako ,hakuna mwanamke anayeweza kumletea mwanaume dharau bila sababu.