There is no way zaidi ya hapo.....! Lakini je, ikitokea akamuua mdogoye? Utatubu wapi tena? Au huyo mwarabu alikuwa akijaribu kukutia mimba kupitia tiGO? Nina wasiwasi na hilo....! Vinginevyo, kuna dispensary moja iko Nairobi (Kenya), ambayo hupandikiza watoto; kaulizie iko mtaa upi....! Huyo mke mwenzio yeye ankufahamu? Yeye alipataje watoto? Mumeo analifahamu tatizo lake? Shame on you....!Jamani hii ni habari ya kweli na inanisumbua moyo sana,nimeolewa na bwana mmoja wa kiarabu miaka 20 iliyopita,huyo bwana ana mke wake wa kiarabu aliyezaa naye watoto 6 ila mimi hanizalisha.Tumetibiwa kila hospitali nchini na nje ya nchi lakini hakuna mtoto.Dk Kaisi alifanya kila njia lakini wapi.Hatahivyo huyu mme wangu wala hajawahi kunipigia kelele juu ya hilo,ameonyesha love kubwa sana.Sasa miaka 10 iliyopita alimleta mdogo wake ambae alikuwa anasoma ulaya,ni kijana mzuri,msomi na anabidii sana ya kazi ,anamsaidia sana kaka yake kazi maana kaka yake ni tajiri sana tu.Basi katika maongezi naye nikamweleza shida yangu ya kutozaa na nikamwambia kuwa Dk Kaisi anasema mme wangu mbegu zake haziwezi kunibebesha mimba,
.Tukajenga mazoea naye sana,disko tunaenda wote na mengi tu tukawa tunafanya pamoja.Sasa miaka 6 iliyopita kaka yake akaenda kwa mke wake uarabuni nikabaki na shemeji ambae akawa msimamizi wa familia sasa bila ya ajizi nikamtolea uvivu nikamwambia kuwa naomba kuzaa naye,alisita sana na akaniuliza maswali mengi mno lakini hatimaye nikalala nae na nikabeba mimba na kuzaa mtoto wa kiume kaka yake hakujua maana alirudi baada ya 3 months.Ila shemaji kwenye 6 kwa 6 ni eksipati sana yaani sijawahi kuona mwanaume mtamu kama yeye.Sasa shemeji akapata kazi Marekani akaenda ila kila akirudi tunawasiliana tunaendeleua libeneke na hivi sasa nina mimba yake,kinachonisikitisha ni kwamba shemeji anapokuwa kifuani ananiita mama watoto wangu nipe raha nami nampa raha,sasa naumia roho sana kuona nazaa na shemeji yangu na namsaliti mme wangu ambaye amenifanyia mengi mazuri,je nikaungame kwa mme wangu kwa kumwambia ukweli kuwa nazaa na mdogo wake.
Jamani nimesoma koments zenu nawashukuru kwa wale walioninanga na wale walionionea huruma mimi na mme wangu.Nataka kufafanua mambo yafuatayo kwanza mimi ni mke wake wa ndoa wa 2 mkewe wa kwanza anaishi uarabuni.Prof Kaisi alituambia kuwa mme wangu mbegu zake zimeharibika maana alimfanyia sperm count na alisema kuwa ziliharibika kutokana na kunywa sana konyagi,kuhusu watoto kwa mke mwenzangu wale ni wake maana anafanana nao sana tu.
Niliposhika mimba ya kwanza nilimwambia shemeji yangu na yeye akawa amenogewa sana ikawa tunafanya tu mara kwa mara na nilkuwa nimefundishwa kuwa ukibeba mimba ya jamaa ni lazima umpe aikomaze sasa ikawa nampa amkuze mwanae.
Shemeji alipopata kazi marekani ambapo anafundisha chuo kikuu cha illinois kaskazini alikuwa anakuja likizo anafikia hotel mie naenda huko tunado tena na alinikaribisha kwake marekani nikaenda huko nikaishi kama mkewe kwa miezi 3 na ndipo nimebeba mimba nyingine.
Sijui mme wangu anawaza nini maana anajua kuwa ana tatizo na wala hajaniuliza kabisa kuwa nimezaaje na wala hajamkataa mtoto na anampenda sana.
Wakikutana na mdogo wake wanapendana sijawahi kuona,yaani huyo shameji yangu cum mzazi mwenzangu juzi kamletea kaka yaje bonge la gari.
sasa nasikia kuwa anaoa huyo shemeji na mie hapo ndipo itakuwa mwisho ila nataka anizalishe mtoto wa 3 ndipo tuache
gaya jamani huo ndio ukweli
weye ni zaidi ya shetani,peleka kwa mashetani wenzako U-turn watakusaidia cha kufanya maana hata sisi tuso na dini umetuzidi mizungu:hand:
hii ni habari ya kweli labisa na jamaa zangu nawaomba msinihukumu sana haya mambo yanatokea tu,mimi ninataka mtoto ningefanyaje sasa
Ndio maana mnafananishwa na vyombo vya kulia chakula au viti vya daladala (isipokuwa cha dereva).....!hii ni habari ya kweli labisa na jamaa zangu nawaomba msinihukumu sana haya mambo yanatokea tu,mimi ninataka mtoto ningefanyaje sasa
sawa mnayeniita mimi shetani ok lakini nasema kuwa huo ndio ukweli kwani mme wangu alikuwa hanizalishi na tokea nimezaa hajanikasirikia sasa sijui kama anajua au la na sasa na mimba na inaonekana wazi tu na huyu shemeji yangu kwa sasa anafundisha huko marekani na aliwahi kunialika nikaenda huko mwezi mzima na nilifikia chumbani kwake kwa mwezi mzima.Kweli kabisa nampenda sana mme wangu na huyu shemeji yangu namheshimu sana na tukiwa wawili namwita baba watoto wangu naye anaitika kabisa,ila wifi zangu hawanishemeshi kabisa kwani wanajua kuwa natembea nje ya ndoa ila wanashangaa mtoto ni mwarabu.Sasa nimeongea na mama zangu wote wamenishauri nimwambie mme wangu kuwa nimezaa na mdogo wake asije akadhani kuwa nimetoka nje ya uko p basi nami nimekubali leo nimemwambia mme wangu nataka kusema nae mambo ya muhimu usiku,naenda kumpasukia kila kitu ila shemeji sijasema nae
There is no way zaidi ya hapo.....! Lakini je, ikitokea akamuua mdogoye? Utatubu wapi tena? Au huyo mwarabu alikuwa akijaribu kukutia mimba kupitia tiGO? Nina wasiwasi na hilo....! Vinginevyo, kuna dispensary moja iko Nairobi (Kenya), ambayo hupandikiza watoto; kaulizie iko mtaa upi....! Huyo mke mwenzio yeye ankufahamu? Yeye alipataje watoto? Mumeo analifahamu tatizo lake? Shame on you....!
That is why; With exception of God, I trust nobody, and I can't....! Only fools (but not even all) may do so....!
hapana mme wangu wala kunitamkia tigo hajawahi na hata shemeji yangu tigo hajawahi,ndio mke mwenzangu anajua kuwa mie ni mke mwenzie,kuhusu hospitali prof kaisi alitupeleka ujerumani lakini hakuna mafanikio,hii ilinifanya nilale na shemeji yangu
Shemeji alipopata kazi marekani ambapo anafundisha chuo kikuu cha illinois kaskazini alikuwa anakuja likizo anafikia hotel mie naenda huko tunado tena na alinikaribisha kwake marekani nikaenda huko nikaishi kama mkewe kwa miezi 3 na ndipo nimebeba mimba nyingine.
sawa mnayeniita mimi shetani ok lakini nasema kuwa huo ndio ukweli kwani mme wangu alikuwa hanizalishi na tokea nimezaa hajanikasirikia sasa sijui kama anajua au la na sasa na mimba na inaonekana wazi tu na huyu shemeji yangu kwa sasa anafundisha huko marekani na aliwahi kunialika nikaenda huko mwezi mzima na nilifikia chumbani kwake kwa mwezi mzima.
uko kwenye ndoa miaka 20 hujui unalofanya mpaka uje uulize hapa,:hand:
sawa mnayeniita mimi shetani ok lakini nasema kuwa huo ndio ukweli kwani mme wangu alikuwa hanizalishi na tokea nimezaa hajanikasirikia sasa sijui kama anajua au la na sasa na mimba na inaonekana wazi tu na huyu shemeji yangu kwa sasa anafundisha huko marekani na aliwahi kunialika nikaenda huko mwezi mzima na nilifikia chumbani kwake kwa mwezi mzima.Kweli kabisa nampenda sana mme wangu na huyu shemeji yangu namheshimu sana na tukiwa wawili namwita baba watoto wangu naye anaitika kabisa,ila wifi zangu hawanishemeshi kabisa kwani wanajua kuwa natembea nje ya ndoa ila wanashangaa mtoto ni mwarabu.Sasa nimeongea na mama zangu wote wamenishauri nimwambie mme wangu kuwa nimezaa na mdogo wake asije akadhani kuwa nimetoka nje ya uko p basi nami nimekubali leo nimemwambia mme wangu nataka kusema nae mambo ya muhimu usiku,naenda kumpasukia kila kitu ila shemeji sijasema nae
Hii sredi inapaswa kuchangiwa na jinsia iliyokuwa na siku yake ya kimataifa hapo juzi.
Sisi wenye siku 364 kwa mwaka hatutakiwi hapa!