Ulikuwa unamkaza dry wakat humpendi?!
Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.
Wewe ulizaa kichwa au mgongo?? Leo ndo nimesikia mwanaume kazaa.
Unajua mimi nilimkatalia kwenda dry lakini yeye ndio ali insist sana na akadai kwamba yuko makini.
Siku zote mwanaume ndio anaamua kutumia au kutotumia cndm sio mwanamke
Ameambiwa 'mtoto kafanana na babake kabisa'Na umejihakikishiaje mtoto ni wako??
Wana jf naombeni ushauri wenu najihisi kama nimepoteza.Mimi ni kijana wa miaka 27 nimetokea kuzaa na msichana nisiyempenda..sasa sijui nifanyeje ili niweze kumpenda maana hayupo moyon kabisa.
Yeah ni kweli but alikuwa anadai haenjoy kutumia cndms
Na umejihakikishiaje mtoto ni wako??
Yeah ni kweli but alikuwa anadai haenjoy kutumia cndms
Mtoto ana 2months now ni copy n paste ndugu!
Una kiranga, kama kuna kitu cha kuwa makini duniani ni unazaa na nani. Bond ya milele hiyo, bora uangushe mbegu ya mnazi ovyo lakini si ya.mtoto.
Usimuoe, mtoto pekee si sababu ya kuoana.