We hapa umetoa ushauri gani wa kisheria? Mtu kaomba ushauri wa kisheria badala utoe ushauri wa kisheria umeishia kuwaelekeza aina ya jukwaa mada ilimowekwa kana kwamba kuna mtu hajui aina za majukwaa ya Jf, vp huku pia sio kubwabwaja?
Kwani kipindi uko na huyo mwanamke asiyejitambua mume wake alikua safari ya mbali kwa miaka mingapi na kama alikuwepo unahakika gani kuwa mtoto ni wako? We jichanganye utakosa kuishuhudia treni ya umeme